ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Habari wanajamvi,
Nadiriki kuanza na kusema kuwa MWENYEZI MUNGU alikosea sana kuumba kiumbe hiki,au laah maksudi yake hayajatimia hata kwa asilimia moja.
Kiumbe ambaye ni mnyama mwenye damu moto, kiumbe mwenye sifa nyingi zenye mitazamo tofaut, kiumbe huyu anaishi maisha ambayo hajawah kuyafikiria, maisha mabaya kuliko hata viumbe va mwitumi wanaoliwa na predator.
Ni kiumbe waajabu yeye maisha yake ni kunun'gunika mda wote,yeye alitakiwa aheshikime na wanyama wote ila wanyama wote wamekuwa wakimshangaa,wanyama wote wamekuwa wakimkimbia maana wanajiuliza huyo mnyama alitakiwa aishi maisha gani.
Mnyama asieeleweka, mnyama ambaye anajitambua ana akili lakini anatawalia na species mwenzio wanaofana nae mifumo yote mpaka ya ufahamu, species mwenzie anamdanganya hiki kiumbe yeye yupo mabara mengine lakini anamtawala kwa kila namna.
Ubaya zaidi wa viumbe hawa wote wana utashi ili kuishi walihitaji chakula tu lakini wenyeme hata ukiwajazia mavyakula bado hawezi kutulia atadai na vitu visivo na msingi.
Huwa najiuliza swali nikiwa nafanya meditation namtafakari huyu mnyama aitwaye binadamu, kwanini hana mfumo mmoja? Ina maana MUNGU aliumba kiumbe hichi kisayansi homosapiens kikiwa na tabia zaid ya 10000. kwanini binadamu hajawahi kutua mizigo na madudu mengi yaliyo kichwan. Unaweza ukacheka ukimfikiria binadamu yeye siku zote huwa anahangaika kuitafuta hela ambayo kaitengeneza mwenyewe.
nahisi itakuwa Mpaka wanyama wanashangaa kwanini binadamu anaua binadamu mwenzako akati ana chakula ambacho ni chaumuhimu kwa maisha tofauti na wanyama wengne wanaua wanyama kwa ajili ya chakula.
Yeye binadamu hana huruma na homosapiens mwenzako amejitahd kumfanya binadamu mwenzake amfate amepigwa upofu binadamu anamshabikia binadamu mwenzake.
Tabia nyingne za binadamu hata wanyama hawana yaan binadam ana kazi nyingi hata akilala hajatulia anamuwazia binadamu mwenzake.
Binadamu anaendeshwa na mfumo upi mbona kila mfumo yupo mpaka tabia za wanyama wakubwa na wadogo anazo
Naomben nijue binadamu huru anakuaje?
Binadamu anayefutatilia mambo yake tu na maisha ya wengne hayana athari kwake?
Formula ya binadamu kukubali ye kuish vizur huku wengi wakibaki kulia na anaridhika kabisa hi formula imetoka wapi binadamu bwana kila sehemu anataman ashike yeye kwanini homosapiens wenzetu wanatuongoza??
Kwa msingi huo nahitimisha kwa kusema kuwa dunia bila binadamu ingewezekana ila wanyama hawa ambao ni kundi letu kingdom moja wasingekuwepo maisha yasingekalika,binadamu yupo radhi kila siku yeye awe anafuatilia maisha ya watu hajui kama ndo kula yao,binadamu kutoka bara moja anakwenda bara nyingine anatafuta wafuasi anawadanganya kuhusu iman kumbe lengo yeye afaidike mwingne anauzia wengne silaha waue wenzao,kwanini viumbe hai wenzetu hawakupewa tamaa ya namna hii.
HIVI MAISHA GANI NI STANDARD KWA BINADAMU
Kwanini mnyama binadamu hajawahi kukubaliana kitu na binadamu mwenzake na ana uwezo wa kuongea tofauti na wanyama.
Binadamu ana kila aina ya hulka. Yupo tayari mwezake ateseke!
NA SIFA MBAYA ZAIDI YA BINADAMU NI UWONGO. Tabia iliyomgawanya binadamu katika makundi zaidi ya 10000
kujitafakari kama binadamu kunakupeleka mbali unaweza kujionea aibu ukatamani bora ungekuwa huru kama viumbe hai wengine..