Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

mkuu uzito mkubwa au ni kutokana na lilivyo ka kaa..? Kwamba litavunjika vipande likikusanywa sehemu moja! Sio kwa uzito huo ulioueleza!
 
Mbona sisi tuna Dinosauri mwingine yuko Dodoma ???
Tena huyu wetu wa sasa hivi ni T-REX kabisa tena yuko hai,...
Tushughulike naye huyu kwanza halafu tutamfuata huyo wa Ujerumani.
 
Mbona sisi tuna Dinosauri mwingine yuko Dodoma ???
Tena huyu wetu wa sasa hivi ni T-REX kabisa tena yuko hai,...
Tushughulike naye huyu kwanza halafu tutamfuata huyo wa Ujerumani.
Unajua hili jina linafit sana. tyrannosauraus Rex. Tyrannosauraus ni tyrant na rex inaweza tafsiriwa mtawala au mfalme
 
Unajua hili jina linafit sana. tyrannosauraus Rex. Tyrannosauraus ni tyrant na rex inaweza tafsiriwa mtawala au mfalme
Hahahahaha,
Wewe ni kichwa sana.
Yes, hapa naamanisha Tyrant in Chief.
Hongera sana mkuu kwa kung'amua nilichosema.
 
wazo zuri kumleta nyumbani, ila atawekwa wapi? national museum ya Tanzania padogo sana na hapajulikani, so kama ataletwa ni bora kwanza kuwe na museum large enough, wataalamu na wafanyakazi. Na ukizingatia tatizo jingine kubwa sana watanzania tulilonalo ni kutotembelea vivutio vyetu so sidhani kama kuna hiyo budget kabisa, utalii kwetu watanzania ni pale tunapotoka nje ya tanzania na kupiga picha na majengo ya nchi za wenzetu ila siyo mbugani kwetu...
 
Back
Top Bottom