Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, Dar es Salaam Mnyika amesema: “Tumetathmini na kuona kwamba TAMISEMI, ambayo ina mamlaka ya kuandaa uchaguzii, haina jitihada za kutosha za kuhamasisha wananchi kujiandikisha, wakati zikiwa zimebaki takribani siku tatu.”
Aliongeza, “Ikiwa jambo muhimu kama hili halipati uzito wa uhamasishaji mitaani, vijijini na kupitia vyombo vya habari, ni wazi kuwa ni mkatati na mnyororo wa ushirika haramu na kidharimu baina ya TAMISEMI na CCM"
Kwani nyie kazi nini au ni upuuzi wa kuhamasisha maandamano yalio kosa watu na huku mnatafuta sababu na kutaka kutafuta sehemu ya kutupia lawama jikiteni hivyo hivyo kwenye chaguzi za lakini mtakiona kilicho mtoa kanga manyoa. Kwhiooooo tumeibiwaaaa
Kwani nyie kazi nini au ni upuuzi wa kuhamasisha maandamano yalio kosa watu na huku mnatafuta sababu na kutaka kutafuta sehemu ya kutupia lawama jikiteni hivyo hivyo kwenye chaguzi za lakini mtakiona kilicho mtoa kanga manyoa
Kwhiooooo tumeibiwaaaa nyambafu!
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, Dar es Salaam Mnyika amesema: “Tumetathmini na kuona kwamba TAMISEMI, ambayo ina mamlaka ya kuandaa uchaguzii, haina jitihada za kutosha za kuhamasisha wananchi kujiandikisha, wakati zikiwa zimebaki takribani siku tatu.”
Aliongeza, “Ikiwa jambo muhimu kama hili halipati uzito wa uhamasishaji mitaani, vijijini na kupitia vyombo vya habari, ni wazi kuwa ni mkatati na mnyororo wa ushirika haramu na kidharimu baina ya TAMISEMI na CCM"
Kwani nyie kazi nini au ni upuuzi wa kuhamasisha maandamano yalio kosa watu na huku mnatafuta sababu na kutaka kutafuta sehemu ya kutupia lawama jikiteni hivyo hivyo kwenye chaguzi za lakini mtakiona kilicho mtoa kanga manyoa
Kwhiooooo tumeibiwaaaa nyambafu!
Pamoja na Mnyika kugundua hiyo weakness, ni muda sasa wa Chama chake kupita Vijijini na maeneo yote kuhamasisha Wapiga kura wake kujiandikisha katika daftari la Wapiga kura ili waweze kushinda Chaguzi zao.
Wenzao CCM inafanya uhamasishaji Mkubwa kupitia Makatibu Kata wao, wenyeviti wa Chama ngazi zote pamoja na MaDC.
Ukikaa ofisini na kuendelea kulaumu wakati hujachukua hatua kwaajili ya Chama chako ni kupoteza muda.
Wanaweza kukodi magari ya matangazo Kila Wilaya wakapita wakihamasisha Wanachama wao.
Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kipimo cha Uchaguzi Mkuu Mwakani.
ni wajibu wa kila chama kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha katika daftari hapo ndiyo chadema wana feli wanategemea nani awahamasiche wanachama wa chadema kuhakikisha wanapiga kura kumchagua mtu wao unategemea ccm iende kwenye kambi za chadema kuwaambia wahakikishe wana piga kura? chadema wanatafuta kichaka cha kuja kupigia kelele za kuibiwa wakati wanachaa wao hawahamasishi kujiandikisha unategemea kama hujajiandikisha utapigaje kura? ccm oyeeeeeemitano tena chadema mnanuna mkiwa wapiiiii???

kwenda kumuambia mtu wa chadema kuwa hakikisha unajiandikisha kupiga kura ni sawa na kumpigia kampeni ashinde waaacheni hivyohivyo ccm wanahamasisha watu wao chadema wacha wasubiri tamisemi wawahamasishie watu wao mtahenya
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, Dar es Salaam Mnyika amesema: “Tumetathmini na kuona kwamba TAMISEMI, ambayo ina mamlaka ya kuandaa uchaguzii, haina jitihada za kutosha za kuhamasisha wananchi kujiandikisha, wakati zikiwa zimebaki takribani siku tatu.”
Aliongeza, “Ikiwa jambo muhimu kama hili halipati uzito wa uhamasishaji mitaani, vijijini na kupitia vyombo vya habari, ni wazi kuwa ni mkatati na mnyororo wa ushirika haramu na kidharimu baina ya TAMISEMI na CCM"
ni wajibu wa kila chama kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha katika daftari hapo ndiyo chadema wana feli wanategemea nani awahamasiche wanachama wa chadema kuhakikisha wanapiga kura kumchagua mtu wao unategemea ccm iende kwenye kambi za chadema kuwaambia wahakikishe wana piga kura? chadema wanatafuta kichaka cha kuja kupigia kelele za kuibiwa wakati wanachaa wao hawahamasishi kujiandikisha unategemea kama hujajiandikisha utapigaje kura? ccm oyeeeeeemitano tena chadema mnanuna mkiwa wapiiiii???
Najua Kuna factors nyingi zikiwemo za kiuchumi, lakini najua wakijipanga vizuri wanaweza kufanikiwa
Wangekuwa wako real, walihitaji kujipanga Kwa resources chache walizonazo kupitia kwenye Kanda zao wangeweza kuwafikia Watanzania wengi zaidi
Siasa inahitaji Uwekezaji pia, tangu Mwaka Jana CCM imepeleka maDC na maRC China ili kwenda kujifunza kwaajili ya kushinda Chaguzi zao.
Unaweza kushindwa kufanya hayo kutokana na changamoto za Kifedha, lakini unaweza kuajiri Consultant wa Siasa ili aweze kuwapika Viongozi wako kuelekea Chaguzi za Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu Mwakani
Kwani CHADEMA tumekatazwa kueleimisha na kuhamasisha wananchi na wachama wetu kujiandikisha kupiga kura? Huu ni upuuzi kabisa...Mnyika aseme ameshindwa kazi aliyopewa