Mnyika amejibu vizuri sana

Hakuna mapambano marahisi, hasa ya kutaka mabadiliko dhidi ya mfumo kandamizi. Hapo viongozi waliotoa amri akamtwe ni walevi wa madaraka, na hofu ya kupoteza hayo madaraka. Sio nje ya hapo boss.
 
So ni kujiandaa kufungwa? Sababu ni walevi wa madaraka na hawataki kitisho kwenye madaraka Yao? Au kulazimisha aachiwe?
 
Haogopi kufungwa, kuliko kuendelea kuwa kondoo kwa walevi wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…