Siyo kulopoka ndugu yangu nimeeleza ukweli tu kama mutu alikopeshwa pesa NSSF hajarudisha paka leo kwanini asiitwe FISADI kinachokukera ni nini una share hapo kwa mbowe? au ni DJ mwenzio tueleze ili tufahamuWewe Ipole mbona unaropoka? watu wanatoapoint za maana wewe unakurupuka, oh, Mbowe ni kifisadi!!!! Toa point kwanza kisha umalizie na bifu lako na Mbowe. Hoja kwanza kama huna kaa kimya!!! Umeniudhi sana. By the way mimi si mshabiki wa Mbowe if you need to know
Wakuu,
Hivi hapo tatizo ni mgambo au ni sheria zetu? Ukiondoa Mgambo bado polisi wataendelea kunyanyasa raia. Ukiondoa polisi jeshi nao wataendelea.
Huwezi kutatua hilo tatizo kwa kufuta Mgambo au Sungusunga. Kinachotakiwa ni kutunga sheria zinazolinda haki za raia wetu na kuwaelemisha raia juu ya haki zao.
Mgambo na Sungusungu wakitumika vizuri wana faida kubwa sana.
Mnyika,
Fanyeni mipango ya kurekodi hizi speeches halafu mnaweka mp3 mtandaoni kiasi kwamba hata kama kuna mtu ana distort au kunahitajika clarifications mnampa link ya mp3 tu anapata verbatim.
Ila hatuwezi kuwa na neighbourhood watch iliyo effective kama elimu ya uraia ipo chini, hapo utakuwa una invite human rights abuses tu, kitu kinachotokea sasa hivi katika hizi militias za Sungusungu na Mgambo.