Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Aisee nimetoka kusikiliza wimbo wa ROMA wa Nipeni Maua yangu ambao umetoka leo. Mashairi yake yana maneno mengi mazuri kama mnavyojua ROMA
Kwenye suala la amani, amesema anatamani kuona viongozi wanaacha pombe mezani na wakirudi wanakunywa kwa amani. Japo hili limeniwazisha, kwamba mkiachaga bia mezani mkirudi huwa hamnywi, sasa kwanini mnakaa pamoja?
Ameigiza sauti ya Magufuli: Jimbo hili haliendelei kwa kuwa mmemchagua mpinzani, sasa ni chama tawale, fauluni huo mtihani
Hii amewaambia CCM ambao kwa sasa wanamajimbo mengi yako wapi maendeleo ikiwa awali upinzani ndio ulionekana kikwazo
Well sentence nyingine, ni pale aliposema: Nikupe bodaboda yangu, unipe uwaziri ili uone ninachopitia
Naendelea kusikiliza ngoma huku nikitafsiri zaidi