Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
ndhani tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo dhidi ya nini maana ya mkutano mkuu Taifa 🐒LISSU STUKA !!
Kwani Lissu si makamo mwenyekiti ? Sasa kama anaweza kuibiwa na mbowe ataweza kuzuia kuibiwa na ccm?LISSU STUKA !!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu ,wajumbe wajisomee wenyewe.
LISSU STUKA !!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu ,wajumbe wajisomee wenyewe.
hivi mpaka sasa bado hawajaanza kupiga kura?Unatafutwa mwanya wa kuchakachua kura ili ndugu Lisu aambulie kura ya yeye mwenyewe tu.
Salama leko!...LISSU STUKA !!
Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu ,wajumbe wajisomee wenyewe.
ina maana tundu lisu bado haujashitukia tu huu mchezo?MBOWE ameshinda tayari kwa 80%
unaambiwa giza likiingia mbowe atasaidiwa kushinda na hao dola/ccmKwani Lissu si makamo mwenyekiti ? Sasa kama anaweza kuibiwa na mbowe ataweza kuzuia kuibiwa na ccm?
Hiyo taarifa ingesomwa na katibu mkuu. Kusomwa na mkiti ni kujipigia kampeni. Upinzani unaisha leoHapana taarifa ya utekelezaji lazima isomwe ili kila mmoja aisikie ikiwemo wanachama na raia wote nchini.
Yupo sawa.
Wewe upo nchi gani mzee? Mnyika siku hizi ndio Mwenyekiti wa Chadema? 🤣🤣Hiyo taarifa ingesomwa na katibu mkuu. Kusomwa na mkiti ni kujipigia kampeni. Upinzani unaisha leo
Kwa vipi?unaambiwa giza likiingia mbowe atasaidiwa kushinda na hao dola/ccm
Daaah! Hivi unafuatilia huo mkutano? Mnyika ndiyo Mwenyekiti wa CHADEMA?Hiyo taarifa ingesomwa na katibu mkuu. Kusomwa na mkiti ni kujipigia kampeni. Upinzani unaisha leo
Sasa kama mnaogopa hivyo si bora mngalienda kuuza chapati? Hamas umeona walivyopambana na Isreal ? Sasa kama nyinyi mtaibiwa kura na Mbowe si bora mkauze chapatiunaambiwa giza likiingia mbowe atasaidiwa kushinda na hao dola/ccm
kwa namna watakavyoona ni rahisiKwa vipi?
Amandla...
Hata ya Lema Ataikosa?Unatafutwa mwanya wa kuchakachua kura ili ndugu Lisu aambulie kura ya yeye mwenyewe tu.