Mnyika anza kushughulika na kashifa za Mbowe juu ya matumizi mabaya ya Ruzuku ya chama na michango ya Wabunge

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
677
Reaction score
1,326
Kirudishe Chama kiwe Taasisi usikubali kukumbatia uozo wa Mbowe fukua Makaburi muige Dr Bashiru Ally alivyowanyang'anya mafisadi ya CCM Magari ya kifahari na Hisa za CCM VODACOM
 
si mnyika tu CHADEMA hakuna mwenye uthubutu wa kumzungumzia mbowe hivyo.
akiaanza kujifanya anasafisha hizo shutuma atapelekewa zengwe kesho utaona maandiko ya makamanda eti walikua na mashaka nae tangu mda mrefu kuwa pandikizi la mahasimu wao.

MBOWE HAKUNA WA KUMZUNGUMZIA NDANI YA CHAMA
 
Taarifa ya mwisho ya CAG inaeleza nini kuhusu matumizi ya Ruzuku? Ofisi ya msajili wa vyama so far amechukua hatua zipi ikiwa chama kinafanya ubadhirifu wa ruzuku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kirudishe Chama kiwe Taasisi usikubali kukumbatia uozo wa Mbowe fukua Makaburi muige Dr Bashiru Ally alivyowanyang'anya mafisadi ya CCM Magari ya kifahari na Hisa za CCM VODACOM
Ccm wamemfukuza CAG kuficha upotevu wa tri. 2.4
 
si mnyika tu CHADEMA hakuna mwenye uthubutu wa kumzungumzia mbowe hivyo.
akiaanza kujifanya anasafisha hizo shutuma atapelekewa zengwe kesho utaona maandiko ya makamanda eti walikua na mashaka nae tangu mda mrefu kuwa pandikizi la mahasimu wao.

MBOWE HAKUNA WA KUMZUNGUMZIA NDANI YA CHAMA
Chadema ni kibubu cha kudundulizia pesa cha mbowee! Sasa ukisema myika ahoji hii itakuwa kali ya miaka cyo ya mwaka.

Tangia lini kibubu kikamuhoji aliye kichonga? .
OVA. Tafakari upya
 
Back
Top Bottom