Chief Malonja lazima aheshimiwe na wasukuma wote. Hivyo kila ajiitaye ajiitaye msukuma lazima kwa masharti ya kimila amuheshimu na asipofanya hivyo anaweza kupigwa laana bila ya kujali ana cheo gani kisiasa.
Hana hadhi ya kuwa Mwami huyu! Hata Omutwale hana hadhi! Ogu Mwiru!!
Political masturbationPoleni sana wana lumumba na huo ndiyo mwanzo tu lazima mtakosa pa kupatia kitumbua chenu maana cdm ndiyo inazidi kupaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapoteza muda, yaani hao tukifanya propaganda kidogo kwisha habari yao.Poleni sana wana lumumba na huo ndiyo mwanzo tu lazima mtakosa pa kupatia kitumbua chenu maana cdm ndiyo inazidi kupaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ni chama dhaifu sana !Mwambie mfungua geti awapige picha hao watu uwalete huku jf wajulikane. Tumechoshwa na habari hizi za watu wasiojulikana kwa Zama za technologia ya smartphone Kama hizi.
Nitarudi kutaangalia picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimejiondoa kanisa nililozoeleka kwa sababu ya ujinga wa wachungajiHalafu leo kanisani tunaambiwa na mchungaji eti tumshukuru Mungu kwa serikali iliyopo na viongozi wake!!!
Kila mtu ajiombee mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kumtumia Mnyika, muoneeni huruma na muogopeni Mungu, Mnyika hajui wala hana control na anachokifanya.
Nyinyi kama chadema walinzi wenu wakoje,mnampango gani kumlinda mnyika ...
Sent using Jamii Forums mobile app