Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Eti Mnyika anaitwa mchaga leo hivi ukiwa karibu na Mbowe ndio unakuwa mchaga?

Kupandikiza ukabila ni kufirisika kihoja.

Siasa za Tanzania bhana kuna mchaga anaitwa Mnyika?
Kwa sasa kila MTU akipewa cheo chadema anaitwa mchaga, nakumbuka wakati ule Dr.slaa akiwa chadema, chama kilikuwa kinaitwa cha kikatoliki, Leo slaa yuleyule yuko ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…