MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama.
Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda nafasi nyingine ya wao kukutana na rais inaweza kuwa 2030 wakati kuapishwa Kassim Majaliwa kuwa rais.
Kwa vile John Mnyika naye anataka kukutana na mama, nilikuwa nashauri apewe semina kidogo endapo atapata hiyo nafasi. Haitakuwa busara Mnyika kuomba matofali au mchango wa ada ya watoto.
Aongee na mama, aombe vitu vya msingi, kama vile kupewa eneo kwa ajili ya kujenga makao makuu ya kisasa, jinsi ya kuendesha chama cha siasa kisasa nk.
Chadema tutumieni hizi nafasi vizuri.