Mnyika atuombe radhi, alisema kuanzia Novemba 2022 CHADEMA itahakikisha imefanya mikutano ya hadhara bila kuogopa chochote

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote

Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma

Majilio mema!
 
Bado wanaandaa mazingira ili mikutano itakapoanza, na chama dhulumati kwa kutumia serikali yake, kitakapowakamata na kuwasweka ndani, jamii kubwa ya kimataifa, hasa Ulaya, ichukue hatua dhidi ya Serikali dhulumati.

Bahati nzuri strategy yao imepata mwitikio mzuri na nchi za Ulaya.

Ili kuepuka aibu, ni aheri Rais Samia aamke na kusema, vyama vya siasa viendelee kufanya kazi kwa mujibu wa matakwa ya katiba. Rais hana mamlaka ya kikatiba kuruhusu au kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.
 
Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote

Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma

Majilio mema!
Acha ujinga, wameanzie EU.
 
Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote

Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma

Majilio mema!
Mnyika akuombe radhi wewe kama nani? Huhaona mikutano iliyofanywa Tunduma, na Mbozi? Hujaiona mikutano iliyofanyika Mtama kwa Nape Nnauye na ile ya Tarime?
 
Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote

Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma

Majilio mema!
Heche alikuwa akicheza sindimba huko kusini ?.
 
Back
Top Bottom