johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bado wanaandaa mazingira ili mikutano itakapoanza, na chama dhulumati kwa kutumia serikali yake, kitakapowakamata na kuwasweka ndani, jamii kubwa ya kimataifa, hasa Ulaya, ichukue hatua dhidi ya Serikali dhulumati.Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote
Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma
Majilio mema!
Acha ujinga, wameanzie EU.Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote
Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma
Majilio mema!
Mnyika akuombe radhi wewe kama nani? Huhaona mikutano iliyofanywa Tunduma, na Mbozi? Hujaiona mikutano iliyofanyika Mtama kwa Nape Nnauye na ile ya Tarime?Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote
Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma
Majilio mema!
Heche alikuwa akicheza sindimba huko kusini ?.Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote
Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma
Majilio mema!