Mnyika: Bavicha ngazi zote kuanzia taifa hadi Msingi undeni kamati za kudai Katiba mpya kabla hatujaingia rasmi mitaani!

Udhalimu wa marehemu ndiyo ulioamsha hamasa ya kudai katiba mpya, ili kuzuia viongozi wa aina ya marehemu, kuja kuongoza watu wenye akili timamu.
[emoji16][emoji16]limi chadema imewahi ishiwa sera??

kwanini hamkudai akiwa hai mmesubiri mpaka amekufa!!!

jichaganyeni.
 
Hao punguani wanaoendeshwa na mihemko, achana nao. Hawajitambui. Ni lini na ni vita gani kiongozi alikaa mstari wa mbele. Kiongozi siku zote jukumu lake kubwa ni kuwaunganusha wananchi kupigania a common interest.
[emoji16][emoji16]kwamba ni sawa kabisa viongozi wa chadema kuwajaza ujinga nyumbu,halafu wao wanakwenda mapumziko nairobi.
 
Nyooooo!!!
Kwa Magu!!

aliwaambia wajaribu kumwaga hata mkojo tu acha damu waone.

Nilipenda utawala wake.
Kaishi naye kaburini boss. Nchi hii haina nafasi ya kiongozi muovu kutamba.
 
[emoji16][emoji16]limi chadema imewahi ishiwa sera??

kwanini hamkudai akiwa hai mmesubiri mpaka amekufa!!!

jichaganyeni.

Tulikuwa tunasubiri afe maana tunajua viongozi madhalimu huwa na muda mfupi wa kuishi. Huoni sasa kelele kama zote na yeye kabaki fuvu huko shimoni?
 
Chadema ni failed opposition party.Ila kwa hapa tanzania kina ka unafuu kuliko wengine

Omba siku zako za kuishi ziwe nyingi ili uone hiyo failed party ikipelekea kupata katiba mpya.
 
Tulikuwa tunasubiri afe maana tunajua viongozi madhalimu huwa na muda mfupi wa kuishi. Huoni sasa kelele kama zote na yeye kabaki fuvu huko shimoni?
fuvu hata wewe utabaki nalo,tena usipokuwa makini utabaki nalo ukiwa hai hapa hapa,sababu ya umalaya.

mama ameamua kuwa binaadam kama mlivyotamani,lakini wazee wana kauli zao wanasema mbuzi asili yake sio mkate,mbuzi yake majani.
mmeanza kuonyesha umbuzi wenu mapema hata mida ya chai bado.
 
Kumuita Rais dhaifu ni ukosefu wa heshima. Staha ndugu, wanugu wanasema pick a struggle already
 
Wewe jamaa unakaaga nchi ya ndotoni ya kusadikika nchi ya jf.
 
Kuna ugomvi gani mpaka useme kuna kuvunjwa miguu? Ww ndio wale wajinga msiojua haki zenu, na ndio mnawapa viongozi viburi wanaishia kutumia nguvu kwenye madai halali ya wananchi. Usiwe lofa boss.
Kwa vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi.?

Mzee hapa tunafurahisha baraza tu hakuna muandamanaji hapo
Ndo hvy mzee ngoja tujaze-jaze uzi
 
Huyo mama badala ya kumjaza kwenye vijembe vya kisiasa visivyo na madhara yoyote, mwambie afuatilie waliojiunganishia bomba la mafuta.
 
Nguvu kubwa siyo nguvu ya chama cha kisiasa au nguvu ya Serikali bali ni NGUVU YA UMMA; nguvu ya wananchi.
 
Huyo mama badala ya kumjaza kwenye vijembe vya kisiasa visivyo na madhara yoyote, mwambie afuatilie waliojiunganishia bomba la mafuta.
hilo mjaze wewe,kwani nawewe si mtanzania au uko umekaa unasubiri akosee unaze kulalamika na chakula mdomoni!!!
 
Nawakubali sana nyie wanaharakati wa mitandaoni
Ndio wanakoanzia zama hizi za digitali boss. Ukitaka kujua huku ndio habari ya mjini, hata rais na cabinet yake tuko nao humu humu.
 
Wanachokitafuta watakipata muda si mrefu! Wewe ukiambiwa acha kufanya vurugu na ukalazimisha utapigwa tu!! Na wapigwe tu!!
 
Nguvu kubwa siyo nguvu ya chama cha kisiasa au nguvu ya Serikali bali ni NGUVU YA UMMA; nguvu ya wananchi.

Nguvu kubwa lazima iwe mobilized, au unadhani inatokea automatically?
 
Wameshajua kina Cha maji... Ila waangalie wasije kuwa wamekosea kukipima....
 
Ndio wanakoanzia zama hizi za digitali boss. Ukitaka kujua huku ndio habari ya mjini, hata rais na cabinet yake tuko nao humu humu.
Sawa sawa mashujaa wa keyboards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…