Mnyika: Bavicha ngazi zote kuanzia taifa hadi Msingi undeni kamati za kudai Katiba mpya kabla hatujaingia rasmi mitaani!

Huu ndo udoko wenyewe. Akili gani hii? Kweli ndiyo maana tulipelekwa utumwani.
Ety chadema chama pinzani 😂😂😂. Tz kwa vituko tuko vizuri. Ww kaandamane tuu
 
Mkuu KATIBA MPYA ikipatikana hata wewe utabadili mtizamo wako.

Wakati wa harakati wa ukombozi/kupigania uhuru Babu zetu wangekuwa na mawazo mgando kama yako tungesalia chini ya utawala wa kikoloni hadi leo.
 
Ety chadema chama pinzani 😂😂😂. Tz kwa vituko tuko vizuri. Ww kaandamane tuu
Upinzani wa Tanzania, unlike “Democrats vs Republicans” ni upumbavu. Kwa maoni ya watu kama wewe, sishangazwi ni kwanini sisi weusi tulichukuliwa utumwani.
 
Kukiwa na sababu ya maana ya kuandamana sisi tutaandamana tu bila kuogopa chochote ila hatuwezi kuandamana kwa sababu ya hoja zisizo na macho na uhuni uhuni Kama huu unao endelea.

Ukiona kiongozi kafungwa kisha watu wapo kimya ujue ndio wamempuuza yeye pamoja na sera zake za hovyo.
Sera wenyewe wamejaa matusi matupu alafu nikaandamane eti!!

Alafu mkuu huwa unadhani kuwa Mimi ni ccm, mimi sio ccm kabisaa ila kuunga mkono uhuni Kama huu unaopewa jina la upinzani kwangu mimi hapana kabisa
 

Ww huwezi kuandamana kwenye maandamano ya kudai haki, maana ni mzee. Ww unaweza kuandamana kwenye maandamano ya kusifia viongozi tu. Usitake kujifanya unaweza kuandamana wakati uko against upande wa haki. Acha kusaka sifa zisizo zako.
 
Ww huwezi kuandamana kwenye maandamano ya kudai haki, maana ni mzee. Ww unaweza kuandamana kwenye maandamano ya kusifia viongozi tu. Usitake kujifanya unaweza kuandamana wakati uko against upande wa haki. Acha kusaka sifa zisizo zako.
Siko against na haki hata siku moja ila pia siwezi unga mkono njia za kihuni kwenye kudai hiyo haki mkuu😂 vitu vingine ni vichekesho na si kudai haki.

Hiyo mifano unayo itumia ya zimbawe sijui wapi hiyo ni huko huko Tanzania ni nchi tofauti na nature tofauti kabisa kuanzia watu wake hadi tamaduni zoa hivyo hicho unacho kiwaza hakiwezekani kirahisi namna hiyo labda kuwa na sababu kubwa na ya maana kufanya hivyo la sivyo utapuuzwa tu.
Haki kweli tunaitaka ila tumefeli namna ya kuidai kwa kulishana ushujaa usio na maana yoyote ile.

Yaani nyie akiibuka tu muhuni fulani tu huko mwenye kipaji cha kutukana basi mnamuona shujaa wenu alafu mnataka watu tuunge mkono tu kisa tunataka haki.
Yaani Mimi niende kuandamana kisa Mnyika, Mdude, kigogo sijui Mange kimambi kasema kweli serious!!?

Hivi kwa hali ya nchi yetu ilivyo kwasasa utulivu uliopo watu wako busy na shughuli zao za kila siku kwa uhuru mkubwa wanatafuta ugali wa watoto wao alafu uje kunambia heti tuhamasishe maandamano ya kudai katiba nani atakae wasikiliza Kama si kuishia kupuuzwa tu na kuonekana wapenda fujo na madai yasio na kichwa wala miguu.
 
Chadema mmechanganyikiwa kabisa hamna pa kushika.Mmechoka kupambana na marehemu??????????
 
Wenye akili wanafahamu nguvu kubwa alizonazo rais. Kusema “wanataka kupimana ubavu”, ni dalili kwamba una ujinga mkubwa sana ambao ndiyo zao la umasikini wetu.
 
Duuuh....!!! naona siku hizi mmejaa vitisho kwelikweli.
Mnanikumbusha maandama o ya Mangi Kimambi.
Sisi wengine yetu macho
 
Nchi inahitaji haki kwa watumishi na kuchapa kazi kwa makundi mengine na kupata stahiki sahihi,hayo mengine mpigieni simu muongee nae na sio kuandama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…