Mnyika: CHADEMA Haijafanya Mazungumzo na Serikali, Yapinga Kauli ya Rais Samia Lissu kutafakari

Kama hataki mazungumzo manake si bado anatafakari? Shida iko wapi adi alisemee
 
Masikini JJ Mnyika kuna vitu vya Chadema havijui na Chadema wenzake wanavijua lakini hawamwambii,ila mtu mwenye akili alipaswa yeye mwenyewe tuu ajiuulize na ajijibu!
  1. JJ Mnyika anajua TL aliwezaje kuonana na Rais SSH kule Ubeligiji?,Chadema ilihushishwa?. Hajui!
  2. JJ Mnyika anajua ikikuwaje makamanda walioikimbia nchi kama wakimbizi mara ghafla wanarejea,Chadema ilihusishwa?,yeye anadhani ni wao wenyewe tuu walijitolea kurudi nyumbani kwa nauli zao wenyewe kumbe JJ. Mnyika,hajui!
  3. Kwa vile ni DPP ndio huwa anafuta kesi,hivyo JJ Mnyika,anajua ni DPP ndie alijifutia tuu kwa nolle ile kesi ya Mbowe,kumbe hajui what transpired behind scenes on the background, na Chadema,haikuhusishwa!
  4. Mbowe baada ya tuu ya kutoka selo,badala ya kumshukuru kwanza Mungu,Mbowe alikwenda mahali kuonana na mtu fulani,JJ Mnyika hakujiuliza alikwenda kufanya nini,wala Mbowe mwenyewe hakuripoti kwenye chama chake,nini kilitokea hadi akaachiwa!
  5. Hata wale wanawake mashujaa 19 wa Chadema,waliandikiwa barua bonafide genuine ya uteuzi ya Chadema kwenda NEC kuteuliwa ubunge huku yeye KM,hajui kitu!
  6. Chadema ilikuwa na hali tete kiuchumi,mara ghafla mihela ikaanza kumiminika,KM hakujiuliza hii mihela inatoka wapi,mara ziara za ulaya,mara fedha za kuendeshea kikao cha Baraza Kuu,mara Rais Samia mgeni rasmi mkutano mkuu Bawacha,mara ruzuku ya Chadema,imeachiliwa,yote hayo JJ Mnyika hakujiuliza!
Hivyo hata hili la Lissu,JJ Mnyika hajui wala Chadema haijui,ila TL anajua na hasemi!

P
ngoja niendelee kukimbizana na ngedere hapa shambani kwangu, ACHA porojo kaka paskali
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika amesema kuwa chama hicho na Mwenyekiti wake Tundu Lissu mpaka hivi sasa hakijafanya mazungumzo yoyote na serikali huku akiipinga kauli iliyotolewa na Rais Samia Julai 30, 2026.

Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari leo Agosti 3, 2026 ameeleza kauli ya Rais Samia alipokuwa akizungumza na vyama vya siasa kuwa yupo mwenzao mmoja ambaye anaendelea kutafakari masharti haikihusu CHADEMA.

Soma pia > Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Mnyika amesisitiza kuwa walipomtafuta Lissu kufahamu kama amezungumza na serikali alikataa akisema mara baada ya kuzungumza na Rais Mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera hajazungumza na mtu yoyote hivyo amewataka viongozi wa CHADEMA kuendelea kubaki kwenye msimamo wao.

Ikumbukwe Julai 30, 2026 Rais Samia alikutana na viongozi wa vyama 18 vya siasa vyenye usajili wa kudumu na CHADEMA pekee ndiyo haikushiriki na moja ya kauli aliyotoa alisema "Kuna mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari bado tunaendelea kupokea misukumo yake conditions zake matakwa yake ndiyo mambo yanavyoendeshwa kwenye nchi."

View attachment 3642394
Samuya anatakiwa kwanza aridhiane na wananchi ambao aliamuru wapendwa wao wauliwe na poliCCM mnamo siku ta MO29.
 
Back
Top Bottom