johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mataga mna ofisi nzuri saana lakini mgombea wenu wa urais amekataliwa kila mahali hadi imefika hatua anaomba kura kwa kupiga magoti 🤣Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Ccm hawajawai kujenga office wanatumia majengo ya umma.Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Sawa nyie mataga mna ofisi nzuri lakini ndio ivyo tena mna mgombea KICHAA.Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Sio mbaya. Hata Mandela alileta mabadiliko chanya kutokea kachumba kadogo huko jelaHii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Sura sio roho,Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Nao wakishinda dola watabadika ikiwa hawa waliopora viwanza naonawaona kama wanachechea tuHii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Hajasema Tl ataendelea na kampeni.Hapana. Mimi nina hofu, tukiendelea na kampeni tume itatuongezea adhabu. Mpaka sasa tumeshawashika vibaya serekali (sio ccm maana sisi tunashindana na serekali sio ccm) . Kwa maoni yangu tukubaliane na msimamo wa tume. Tarehe 9 tuamshe tena popo. Mbona hawatoki! Hawa jamaa washakataliwa, wanaishi kwa huruma ya NEC na Polisi.
Tutawapiga. Sina shaka na hilo.
We umetoka Kijiji gani? Ofisi inaweza kua hata chini ya mti. Mbona wanafunzi wetu chini ya ccm wanasomea chini ya miti hushangai.Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Lisu yuko kifungoni.Lissu ni Baba lao
Lisu anaendelea na kifungo kampeni sasa zinaongozwa na Salum Mwalimu!Hapana. Mimi nina hofu, tukiendelea na kampeni tume itatuongezea adhabu. Mpaka sasa tumeshawashika vibaya serekali (sio ccm maana sisi tunashindana na serekali sio ccm) . Kwa maoni yangu tukubaliane na msimamo wa tume. Tarehe 9 tuamshe tena popo. Mbona hawatoki! Hawa jamaa washakataliwa, wanaishi kwa huruma ya NEC na Polisi.
Tutawapiga. Sina shaka na hilo.