Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Lisu yuko kifungoni.

Kampeni zinaongozwa na mgombea mwenza Salum Mwalimu!
Ambaye ameagizwa kuwaeleza watanzania kuwa Chadema kiko radhi kuhakikisha serikali ya nchi hii inakuwa omba masikini na tegemezi kwa kubinafsisha kila kitengo kinachoiingizia serikali mapato!!!

Wameumbuka sana!!!
 
Maisha yako yakiwa mabovu kama hayo usitegemee Watanzania walio wengi wanaishi kama wewe.
Mzee nani kasema watanzania wote?
Nimesema maisha ya watanzania wengi.
Acha kujitoa ufahamu
 
"Sio tu kumwaga damu... wamwage hata mkojo waone.." The JPM

Viva Magu 2020 to 2030
Dawa ya moto ni moto. CHADEMA wasitegemee amani bila ncha ya upanga. Huu ndio muda wa mabadiliko. Mahera anakwenda kumtangaza Magufuli kama mshindi regardless ya matokeo. Nadhani hii ni opportunity ya kuonyesha kuwa 28 Okt 2020 hamtokubali kuibiwa.
 
CCM ni chama pekee kinawaheshimu waajiri wao yaan rais anawaheshimu waajiri wake kwamaana ya wananchi ndio maana anawapigia magoti, na kuhusu yale mnayoita matusi ni utani tu ambao sisi watanzania na wabantu tumezoea kutaniana kila siku..

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
CCM ingekuwa inawaheshimu wananchi mgombea wenu asingekula rambirambi za tetemeko la Bukoba
 
Lissu akirudia tena tume ya maadili imfutiliembali.
Sisi wananchi tumechoshwa na dharau zake kwa Rais JPM.
 
Back
Top Bottom