Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Jee Chadema mgombea wenu wa urais Zanzibar ni nani ndevu mvi au ndevu kiwi maana mna wagombea wawili kule
 
Mataga mna ofisi nzuri saana lakini mgombea wenu wa urais amekataliwa kila mahali hadi imefika hatua anaomba kura kwa kupiga magoti [emoji1787]
Huyu hapa.
FB_IMG_1601425432271.jpg
 
Hapana. Mimi nina hofu, tukiendelea na kampeni tume itatuongezea adhabu. Mpaka sasa tumeshawashika vibaya serekali (sio ccm maana sisi tunashindana na serekali sio ccm) . Kwa maoni yangu tukubaliane na msimamo wa tume. Tarehe 9 tuamshe tena popo. Mbona hawatoki! Hawa jamaa washakataliwa, wanaishi kwa huruma ya NEC na Polisi.

Tutawapiga. Sina shaka na hilo.
Inatakiwa wapate msg kwamba wakizingua tar28 watu wanakiamsha...

Never back down
 
Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Unajua TANU babake CCM walianza na ofisi gani?.
Isitoshe ofisi za CCM unazoziona sasa hivi zilijengwa kwa nguvu za umma kwa michango ya lazima,na baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza yale majengo ambayo yalikuwa hayajaisha mpaka leo bado yamesimama bila kwisha.
 
Kamuulize Bashite na cyprian Musiba waliokwenda Dodoma kumpiga risasi
Umeambiwa waliopanga ushahidi huo wewe wako uko wapi? Au ndio majungu yenyewe?
 
Ofisi inaendana na maisha halisi ya watanzania. Huwezi kujivunia ofisi nzuri wakati wananchi wako wanaishi kwenye mapagala
Maisha yako yakiwa mabovu kama hayo usitegemee Watanzania walio wengi wanaishi kama wewe.
 
Tbc watarusha Live? Lissu amesema anamuunga mkono maalimu,kampeni za nini?

Kwani jiwe hamwuungi mkono Hussein Mwinyi? Kampeni zake jana Zanzibar bado zilikuwa za nini?

Akili zenu mtaacha lini kushikiwa?
 
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.

Wote mnakaribishwa.

Maendeleo hayana vyama!
Waendelee hapa bara, why unguja?.
 
Back
Top Bottom