Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.

Wote mnakaribishwa.

Maendeleo hayana vyama!

Labda kama Mnyika ana maanisha mgombea wa Urais wa chadema huko Zanzibar lakini wa bara hameshapigwa ban hadi tarehe 9 akikaidi atakutana na mkono wa sheria!
 
Acha waendelee tu sioni kosa lao maana kuna chama pia mgombea wake anaongea vitu vya ajabu jukwaani ila lile genge linaloitwa tume liko kimya sababu linatokana na hicho chama.
 
Watajua hawajui
255767681499_status_a58155e1fd6441a88b877c5c7249e35a.jpg

SUBIRI KIDOGO
 
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.

Wote mnakaribishwa.

Maendeleo hayana vyama!
Tbc watarusha Live? Lissu amesema anamuunga mkono maalimu,kampeni za nini?
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Back
Top Bottom