johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki