julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
hivi ni rahis sana wewe uliye nje kuona kukosoa.sawa sawa na na mcheza mpira.leo unaweza kuwa umekaa nje unaona bakar nondo anakosea anapiga sana nje kumbe rahis kuona anakosea wap ukipewa wewe njumu unaanza kuwa mpeche mpeche
leo ni rahis kina mnyika kukaa na kukosoa sabab hawafany wao.haina maana mdahalao maana umekaa unataka kukosoa tu ujacheza wewe inakua rahis sana. kaz ya uongoz ni ngumu sio ya majaribio
leo ni rahis kina mnyika kukaa na kukosoa sabab hawafany wao.haina maana mdahalao maana umekaa unataka kukosoa tu ujacheza wewe inakua rahis sana. kaz ya uongoz ni ngumu sio ya majaribio