johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wachache tu ndio wana uwezo the rest ni weupe , ndio maana hawatokeiCCM waoga sana wa midahalo wao siasa zao ni za kubebwa na mitutu ya bunduki za polisiccm tu.
CCM ina Hazina ya Viongozi tunaweza kumtuma hata Lucas akapambane na Mnyika+AddoCCM waoga sana wa midahalo wao siasa zao ni za kubebwa na mitutu ya bunduki za polisiccm tu.
Unadhani yeye Mnyika ana Mtu wa kumtuma kumuwakilisha? πWachache tu ndio wana uwezo the rest ni weupe , ndio maana hawatokei
Sasa kama hana content kichwani ajitokeze ili achichoreshe au?Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
View attachment 3083470
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Kikwete CCM ilimchimoa katikati ya mdahalo wakamfunika na kawa!Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
View attachment 3083470
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Mnyika yupo sahii, Nchimbi hakuna kutuma mwakilishi,Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
View attachment 3083470
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Lucas huyu ambaye hata Katiba ya CCM haijui au mwingine?CCM ina Hazina ya Viongozi tunaweza kumtuma hata Lucas akapambane na Mnyika+Addo
Kanisa Moja Takatifu La Mitume ππΉ
Huyu huyu mzee wa bubujiko ππCCM ina Hazina ya Viongozi tunaweza kumtuma hata Lucas akapambane na Mnyika+Addo
kwa ratiba ngumu na muhimu sana ya katibu mkuu wa ccm, iliyo ambatana majukumu mazito ya kitaifa na kimataifa si rahisi kushiriki mjadala huo ambao kimsingi hauna tija sana, kwasababu chama chenye zaidi ya wabunge mia4 kina jadiliana nini na chama ambacho hakina hata diwani moja nchi nzima?Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
View attachment 3083470
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Sasa mnyika anadhani atapata ushawisi.ngoja ajidanganye.Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
John Mnyika ameandika Ukurasani X
View attachment 3083470
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Bado hamjaacha kukimbia midahalokwa ratiba ngumu na muhimu sana ya katibu mkuu wa ccm, iliyo ambatana majukumu mazito ya kitaifa na kimataifa si rahisi kushiriki mjadala huo ambao kimsingi hauna tija sana, kwasababu chama chenye zaidi ya wabunge mia4 kina jadiliana nini na chama ambacho hakina hata diwani moja nchi nzima?
nadhani ni busara ya kipekee sana kwa mtu mzima na mwenye heshima kama Dr.Emmanuel Nchimbi, a very able, matured, disciplined and capable SG of CCM, kupuuza madahalo huu na kutoa fursa kwa hao vijana kujadiliana wao wenyewe mambo yao kama upinzani
mbaya zaidi katibu mkuu wa ccm anasisitizwa kuthibitisha kuhudhuria mdahalo huo na katibu mkuu mnyonge sana ( shadow SG) wa chama ambacho mara zote kiko kishari shari tu, kumejawa hofu, ubishi, malalamiko, taharuki na sura ya kihalifu halifu tu... just wastage of time tu