Mnyika: Kamati kuu imerejea Serikali ishushe bei za mafuta, wangedhibiti ufisadi ongezeko lisingekuepo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 10, 2026, amesema Kamati kuu ya Chama hicho imerejea uamuzi wake wa awali kuitaka Serikali kushusha bei za mafuta, kwani ongezeko hilo ni kutokana na Serikali yenyewe kushindwa kudhibiti ufisadi.

​
"Kamati Kuu imerejea azimio lake la awali la kuitaka serikali haramu na batili ya Samia Suluhu Hassan kushusha bei ya mafuta kufuatia ongezeko la awali. Ongezeko hili lisingekuwepo kama serikali ingedhibiti ufisadi katika mchakato wa ununuzi, ingetoa ruzuku, nafuu ya kodi, na kuondoa tozo nyingi ambazo zimeingizwa kwenye bidhaa ya mafuta.

Kamati Kuu imepitia nyaraka mbalimbali zinazoonyesha kuwa bei ya mafuta katika nchi yetu ipo juu kutokana na ununuzi wa kifisadi unaofanywa kupitia zabuni na michakato ya ununuzi mkubwa—bulk procurement ya mafuta. Badala ya kuwa nafuu kwa Watanzania, ununuzi huu hivi sasa una tuhuma za kunufaisha genge la mafisadi."
 
Kwamba bei ya mafuta ikishuka heche hawezi kutumia fedha na ofisi ya chadema kujikomboa kiuchumi kibinafsi au?🐒
 
Back
Top Bottom