Mnyika: Kesi ya ya Msingi ya CHADEMA ni ya kisiasa na kimkakati kwa lengo la kukwamisha "No Reforms, No elections"

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

​
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, leo amezungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho hadi tarehe 14 Julai, 2025.​
 
sisi wananchi waTanganyika tunajua na tunaona hila mnazofanyiwa. Tuna jambo letu mwaka huu. Mungu wa mbinguni ndiye mkuu wa mamlaka zote. Tunaendelea kusugua goti mbele zake.
 
Attachments

  • downloadfile-114.png
    downloadfile-114.png
    742.9 KB · Views: 27
Back
Top Bottom