Mnyika:Kuchukua form kutawajumuisha hata wale ambao hawakutia nia

Mnyika:Kuchukua form kutawajumuisha hata wale ambao hawakutia nia

Hapana mkuu, Kuna maeneo wagombea wenye sifa hawajajitokeza ndo maana wametoa huo mwanya na si vinginevyo...sidhani Kama wamefanya hvyo kwa wahamiaji...wahamiaji safar hii hawana nafas
Nina maswali kwa hiki ulichoandika hapa ila nikikuuliza naona nitakuwa nakuonea, tusubiri muda utatoa majibu.
 
Uliza tu mkuu, sisi ni wao sidhani Kama tutashindwana
Nina wasiwasi na hilo gap waliloliacha, nahisi kuna mtu wanamtarajia aje kuliziba, tatizo langu hasa ni huyo mtu, anyway tusubiri tutapata majibu muda upo.
 
Nina wasiwasi na hilo gap waliloliacha, nahisi kuna mtu wanamtarajia aje kuliziba, tatizo langu hasa ni huyo mtu, anyway tusubiri tutapata majibu muda upo.
Hapana mkuu, hiyo shaka ondoa kbs..Kuna baadhi ya maeneo hayajakaa sawa ndo maana chama kimeamua kuongeza watu waende tu kuchukua form baada ya kuona wapo waliosita kutiania lkn kwa sasa wameonesha wako tayari kushiriki zoezi
 
Back
Top Bottom