Mnyika: Kusaliti Mapambano ya Katiba Mpya ni kusaliti Damu za waliouawa kwa ajili ya Demokrasia

Mnyika: Kusaliti Mapambano ya Katiba Mpya ni kusaliti Damu za waliouawa kwa ajili ya Demokrasia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema "Akitokea mtu na nje ya humu, mwanachadema au mpenda demokrasia na haki, akasaliti mapambano ya kutafuta katiba mpya ni sawa sawa na kusaliti damu za watu waliouawa kwa sababu ya Katiba Mpya na demokrasia."

 
"Akitokea mtu na nje ya humu, mwanachadema au mpenda demokrasia na haki, akasaliti mapambano ya kutafuta katiba mpya ni sawa sawa na kusaliti damu za watu waliouawa kwa sababu ya Katiba Mpya na demokrasia." - John Mnyika

View attachment 3671638
ni vizuri mnyika akaacha porojo na upotoshaji na itapendeza zaidi 🐒
 
"Akitokea mtu na nje ya humu, mwanachadema au mpenda demokrasia na haki, akasaliti mapambano ya kutafuta katiba mpya ni sawa sawa na kusaliti damu za watu waliouawa kwa sababu ya Katiba Mpya na demokrasia." - John Mnyika

View attachment 3671638
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Back
Top Bottom