Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kusema hili hili, hata huyo Sonko awe makini anaweza geukwa na kupewa kesi ya uhaini. Viongozi wa Africa sijui tuna shida gani. Ivory Coast na The Gambia zilichagua wapinzani ila wamekuwa worse kuliko vyama tawala.Rais aliyetoka nayeye alikuwa mpinzani ila, ghafla akataka kuinajisi Katiba, ngoja tuone wengi waafrica wanaingia ikulu very humble ila wakionja madaraka wanageuka na kusahau movement zote
Ukiangalia namna Vyama Vya upinzani wanavyofanya mambo yao hapa nchini ni vyama vya hovyo bora hata CCM mara Mia.Nilitaka kusema hili hili, hata huyo Sonko awe makini anaweza geukwa na kupewa kesi ya uhaini. Viongozi wa Africa sijui tuna shida gani. Ivory Coast na The Gambia zilichagua wapinzani ila wamekuwa worse kuliko vyama tawala.
Muulize MnyikaUfafanuzi na ushahidi kuthibitisha madai yako tafadhali?!
........................ aliyoandika mengi ni sahihi ila kosa lake naona amejiweka katikati yake kuzidi kiasiNaipenda CHADEMA ila Mnyika amekaa mtu muongo muongo sana.
Zee la kutembea na upepo.
Huyu Lucas Mwashambwa siyo msafwa ni Mnyiha kutoka Vwawa, mkoa wa SongwePunguzeni kunywa kimpumu Ili Msiwe na mihemuko
Vile wewe ni Msafwa nakusamehe bureeee 😂😂😂
Lucas Mwashambwa analamba analambaaaa!!Huwezi ukaelewa kama na wewe akili yako ipo kama wao CHADEMA iliyokosa nuru ya fikira na upeo.
Leo ma CCM mnapururana nyie kwa nyie?Uwongo wao ni nini hapo?
Naipenda CHADEMA ila Mnyika amekaa mtu muongo muongo sana.
Zee la kutembea na upepo.
Punguani hili hapa halikose kuja michango inayothibitisha ujinga wake.Yaani CHADEMA maongo maongo na matapeli ya kisiasa.ndio maana chama kimedumaa utafikiri ndama aliyekosa maziwa.
Punguani linaendelea kubwabwaja badala ya kujibu swali rahisi lililoulizwa!Huwezi ukaelewa kama na wewe akili yako ipo kama wao CHADEMA iliyokosa nuru ya fikira na upeo.
Hakuna kabila ambalo unaweza kusema lina watu waliodhihirika ni punguani na wanafiki kama huyu bwana. Huyu ni gobal exceptionally dull witted. Hakuna akijuacho zaidi ya kuropoka.Punguzeni kunywa kimpumu Ili Msiwe na mihemuko
Vile wewe ni Msafwa nakusamehe bureeee [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Hakuna kabila ambalo unaweza kusema lina watu waliodhihirika ni punguani na wanafiki kama huyu bwana. Huyu ni gobal exceptionally dull witted kama huyu kiumbe.
Hakuna msafwa poyoyo kama huyo bwana!! Huyo ni mnyiha wa Vwawa.
Jibu hoja mpuuzi weweAcha ukabila dogo utakupofusha akili na macho yako.
Tunaenda siyo habaAfrican evolution.....bado hapa
Mtu mjinga kama huyu atakujibu nini?Ndio maana mnafeli mitihani! Swali na jibu tofauti. Unaulizwa swali we unapuyanga tuu. Kijana wa laela una shida Sana kwenye ubongo.
Kwa ujinga wako hapa unajiona umeandika pointYaani CHADEMA maongo maongo na matapeli ya kisiasa.ndio maana chama kimedumaa utafikiri ndama aliyekosa maziwa.