kisu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 1,091 Reaction score 514 Mar 26, 2025 #21 Shit hole ....
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Mar 26, 2025 #22 Msajili kuibeba CCM hutaweza, lile ni zigo lanye dhambi kibao lililoshindikana. No reform No election.
Msajili kuibeba CCM hutaweza, lile ni zigo lanye dhambi kibao lililoshindikana. No reform No election.
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Mar 26, 2025 #23 chief04 said: Ukitafuta chimbuko la haya mambo utagundua Mwalimu Nyerere ndo alituchoma Click to expand... Huo ndo ukweli Nyerere ndo aliingiza siasa kwanza Majeshini kuogopa kupinduliwa huyu mzee amna kitu ndo maana kwangu Mandela ni Bora
chief04 said: Ukitafuta chimbuko la haya mambo utagundua Mwalimu Nyerere ndo alituchoma Click to expand... Huo ndo ukweli Nyerere ndo aliingiza siasa kwanza Majeshini kuogopa kupinduliwa huyu mzee amna kitu ndo maana kwangu Mandela ni Bora
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Mar 26, 2025 #24 Cha ajabu mambo yanaweza kwenda kinyume nyume yaani Makala akampa siku 7 msajili aifute barua yake.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Mar 26, 2025 #25 Msajili ni mtumwa wa CCM
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Apr 24, 2026 #26 Hii kauli Chande na akina Machande wameipita kama hawaijui.. Sheria za kimataifa za kivita zinazuia matumizi ya silaha za kibaiolojia sasa kwa tuhuma nzito kama hii Amos Makalla anaweza kuthibitisha?
Hii kauli Chande na akina Machande wameipita kama hawaijui.. Sheria za kimataifa za kivita zinazuia matumizi ya silaha za kibaiolojia sasa kwa tuhuma nzito kama hii Amos Makalla anaweza kuthibitisha?