johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kauli ya Kikakamavu sanaKatibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Hawawezi kwenda hao waramba asali maana Msajili wa vyma hana asaliKatibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
😄😄Hayo maridhiano wanayobeka Chadema kila siku kuwa mazuri ni matunda ya maxumguzo ya vyama vya siasa kwenye kamati ambamo wako akina Zitto Kabwe
Wanamgomea mwenyekiti wa kikao badala ya hoja
Hoja katiba mpya wao wanaongelea Mutungi.wasivyokuwa na akili kichwani
Nendeni mkale lkn Kuna siku itawatokea sehemu yeyote yenye tundu in jiwe's voiceKuna ile kauli ya mkisusa siye twala!
Tena wasiende kabisa, huenda wataenda na uchama uchama wao. Msajiri chapa kaziiii uko sahihi kabisaaa. Asante Kwa kupokea maoni yetuu. Tulishasema chadema wasihangaike na katiba ya wananchi, katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wa chama chochote Cha kisichote. Hivyo alichokifanya msajiri ni sahihi kabisa, na kuvialika vyama vya siasa vyote viende kama wajumbe. Hivyo kama chadema watakuwa wamezira kwenda basi wamepoteza tija na utoaji mawazo Yao huenda yakapotea.Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Huu ni mwendelezo wa usanii ule ule waliokuwa wakifanya kwenye tume ya maridhiano na tume huru ya uchaguzi.Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Lini wewe umedai Katiba?Tena wasiende kabisa, huenda wataenda na uchama uchama wao. Msajiri chapa kaziiii uko sahihi kabisaaa. Asante Kwa kupokea maoni yetuu. Tulishasema chadema wasihangaike na katiba ya wananchi, katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wa chama chochote Cha kisichote. Hivyo alichokifanya msajiri ni sahihi kabisa, na kuvialika vyama vya siasa vyote viende kama wajumbe. Hivyo kama chadema watakuwa wamezira kwenda basi wamepoteza tija na utoaji mawazo Yao huenda yakapotea.
Tangu 2014, bila shaka wewe kipindi hicho ulikuwa hujawaza ata kuchumbiwaaLini wewe umedai Katiba?
Anaratibu mchakatoKatiba mpya inatungwa na Mtungi?
Anaratibu mchakato