Mnyika: Msajili Jaji Mutungi ameitisha kikao cha Makundi mbalimbali kujadili Katiba Mpya 26/5/2023, Sisi CHADEMA hatutaenda Hatuna Imani naye!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya

Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya

Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo

Source: Mwanahalisi Digital
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya

Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya

Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo

Source: Mwanahalisi Digital
Kauli ya Kikakamavu sana

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya

Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya

Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo

Source: Mwanahalisi Digital
Hawawezi kwenda hao waramba asali maana Msajili wa vyma hana asali
 
Hayo maridhiano wanayochekelea Chadema kila siku kuwa mazuri ni matunda ya maxumguzo ya vyama vya siasa kwenye kamati ambamo wako akina Zitto Kabwe

Wanamgomea mwenyekiti wa kikao badala ya hoja

Hoja katiba mpya wao wanaongelea Mutungi.wasivyokuwa na akili kichwani
 
Hayo maridhiano wanayobeka Chadema kila siku kuwa mazuri ni matunda ya maxumguzo ya vyama vya siasa kwenye kamati ambamo wako akina Zitto Kabwe

Wanamgomea mwenyekiti wa kikao badala ya hoja

Hoja katiba mpya wao wanaongelea Mutungi.wasivyokuwa na akili kichwani
😄😄
 
Kwenye hoja nzito kama katiba mpya walitakiwa kwenda ambako ndiko.maamuzi yanafanyika sio tu kubweka katiba mpya majukwaani tu
 
Mbona hawatafanikiwa akina Chadema.Kama vyama vingine vyote vya siasa vitashiriki kuunda katiba mpya na kushiriki uchaguzi mkuu,chama kimoja hakitafua dafu katika kutuchonganisha kwa jumuiya ya kimataifa.
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya

Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya

Mnyika amesema Chadema hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo

Source: Mwanahalisi Digital
Tena wasiende kabisa, huenda wataenda na uchama uchama wao. Msajiri chapa kaziiii uko sahihi kabisaaa. Asante Kwa kupokea maoni yetuu. Tulishasema chadema wasihangaike na katiba ya wananchi, katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wa chama chochote Cha kisichote. Hivyo alichokifanya msajiri ni sahihi kabisa, na kuvialika vyama vya siasa vyote viende kama wajumbe. Hivyo kama chadema watakuwa wamezira kwenda basi wamepoteza tija na utoaji mawazo Yao huenda yakapotea.
 
Huu ni mwendelezo wa usanii ule ule waliokuwa wakifanya kwenye tume ya maridhiano na tume huru ya uchaguzi.
Chadema mpo sawa kutoshiriki mpaka watakapo unda chombo cha kisheria na kikanuni chini ya muongozo wa katiba ya nchi.
Swala la katiba mpya sii fadhila au maagizo ya mtu.
 
Mnyika na Lissu nawaonea huruma 🤣🤣🤣

Ni watu wenye integrity ya hali ya juu sana, lakini tatizo liko pale juu.

Ngoja tusikie mwanyekiti atasemaje, maana ni kama Mnyika kafanya 'preemptive strike' dhidi ya mwenyekiti.
 
Tena wasiende kabisa, huenda wataenda na uchama uchama wao. Msajiri chapa kaziiii uko sahihi kabisaaa. Asante Kwa kupokea maoni yetuu. Tulishasema chadema wasihangaike na katiba ya wananchi, katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wa chama chochote Cha kisichote. Hivyo alichokifanya msajiri ni sahihi kabisa, na kuvialika vyama vya siasa vyote viende kama wajumbe. Hivyo kama chadema watakuwa wamezira kwenda basi wamepoteza tija na utoaji mawazo Yao huenda yakapotea.
Lini wewe umedai Katiba?
 
Anaratibu mchakato

..Raisi afanye mabadiliko ktk nafasi ya Msajili na Naibu Msajili wa vyama vya siasa.

..Msajili aliyepo alishiriki ktk kukandamiza na kuvuruga demokrasia wakati wa utawala wa awamu ya 5.

..Raisi ateue Msajili mwingine ambaye atarejesha imani ya wadau wa siasa kwa Ofisi ya Msajili wa vyama.
 
Back
Top Bottom