Mkojo hakuna hata anayetaka kuitwa na huyo kibaraka, maana wala haamini kwenye suala la katiba mpya. Bila machafuko ni nadra kuandika katiba ya matakwa ya wananchi.Walitaka waitwa wao tu. Wapumbavu
Ni kipi kinashindikana kuweka mtu anayeaminika na wote? Mbona mtu kama Jaji Warioba wengi hawana tatizo naye? Kwani ni lazima kumuweka huyo anayefahamika wazi ni kibaraka, na hufuata chochote anachaombiwa na aliyemteua ili kulinda maslahi ya kundi fulani?Usikatae wito kataa neno.
Kwa ushauri wangu wangeenda harafu kama ajenda kikao itaenda na kinyume cha matakwa yao hapo ndo wangekataa.
Lakini siyo kukataa wito.
Mzee Rwaitama atafaa sana..Raisi ateue Msajili mwingine wa Vyama vya siasa.
Tena sio kwenda, ikibidi wawe wanalala hapohapo kwenye ukumbi wa hivyo vikao hadi katiba mpya muipate watanzania.Katiba mpya sio ya chadema pekee nyie wengine nendeni mkajadili Tanzania tupate katiba nzuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo anayegomewa ni Mbowe siyo Jaji Mutungi
Humu ninazo za kutosha saana.Umejiunga hapa jukwaani mwishoni mwa mwaka jana, hiyo 2014 ulidai katiba mpya kupitia ID ipi?
Mutungi IPO siku tutamtungua tuHawawezi kwenda hao waramba asali maana Msajili wa vyma hana asali
Ungejibu na hizo id ulizotumia kudai hiyo katiba mpya, na sio hii ya uzandiki ya mwaka jana.Humu ninazo za kutosha saana.
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Huna lolote ulijualo. Katiba hiii tunaomba chadema wasiiinajisi kabisaaa, hiii ni katiba ya wananchi sio ya chama chenu.Ungejibu na hizo id ulizotumia kudai hiyo katiba mpya, na sio hii ya uzandiki ya mwaka jana.
Ni kweli, ila hamjawahi kudai katiba mpya. Na isitoshe ni nadra sana kuandika katiba mpya huku Afrika bila machafuko. Hiyo mnayotaka kuandika nyie ni ya kiccm zaidi.Huna lolote ulijualo. Katiba hiii tunaomba chadema wasiiinajisi kabisaaa, hiii ni katiba ya wananchi sio ya chama chenu.
Msipoenda mtasimamisha mchakato? Maana mambo mengine ni magumu sana kuyaelewa. Nendeni, wekeni hja mbele ya meza. Kukataliwa au kukubaliwa hilo litakuwa sio jambo lenu. Mtatimiza wajibu.
Uongozi uko mmoja tu. Hakuna namna mtaukwepa.
Wananchi ndio walidai katiba myaa ndiomaaana ya walioba ikapatikana, kumbuka haikuwa takwa la vyama vya kisiasa, Bali wananchi ndio waliotaka katiba. Kwahiyo kikundi chenu kisinajisi kabisaa zoezi la upatikanaji wa katiba. Katiba Bora italetwa na wananchi wenyeweeee. Kwahyo kiambie kikundi chako kitulize mbwembwe na ngonjeraa. Tena kikae kimyaaa sisi wananchi tusio na mlengo wa siasa wa chama chochote tuwaleteee katiba itakayosimamia mstakabali wa vyama vyote vya kisiasa.Ni kweli, ila hamjawahi kudai katiba mpya. Na isitoshe ni nadra sana kuandika katiba mpya huku Afrika bila machafuko. Hiyo mnayotaka kuandika nyie ni ya kiccm zaidi.
Mzee Rwaitama atafaa sana
Kwa kwa hakika wamepanga kushindwa! Dhamira njema haipo hata chembe!Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Mtungi ni mtu mwovu. Wengine wakiamua kuendelea na mwovu, nao wanakuwa sehemu ya uovu.Wenzao wakiendelea wasije kulalamika siku za baadaye.