Mwaka 2009 Mnyika aliulizwa mipango yake kisiasa, Majibu yake yalikuwa ni kuwa Mbunge kwa vipindi viwili 2010 na 2015 halafu kupumzika ubunge 2020 kwa ajili ya kujiandaa na Urais 2025.
Mnaofikiri vita ya Urais Chadema ni kati ya Mbowe na Lissu tu mmemsahau Mnyika labda na Msigwa.
Kwa siasa zilivyo Mgombea Mwanamke anaweza kupingwa na kushindwa na mgombea Kijana. Kama CCM watamsimamisha Mama Samia basi watatu hao Mbowe, Lissu na Mnyika wote wanaona hapo ndio kitonga kwenyewe. Tusubiri muda utaongea.