William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
FMES,
..sisemi kwamba wapinzani wa-abandon kabisa juhudi zao za kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao, pamoja na ubovu na udhaifu wa CCM.
..lakini kama CCM wanaleta dirty tactics and name calling, basi wapinzani nao wawe tayari ku-respond in kind.
..CCM wanapaswa kushambuliwa frm every angle .
- Wapinzani ni lazima wasimamie kuelimisha haki za wananchi, lakini in the process lazima wajitenganishe na the Makambas, kwa kuonyesha the high road katika non ishus kama hii ya kuitana mapaka na mapanya, kwa sababu haionyeshi nani ana akili kuliko mwingine, na wewe lazima ukubali kwamba Makamba is more happy kujibiwa kwenye level yake, yaani ya mapaka na mapanya, kuliko level ya sheria na mafisadi ambao anawawakilisha.
- Watu kama Makamba they are dirty tactics by nature yaani iko katika damu zao, sasa ukishakubalia kujadili taifa katika level za mapaka na mapanya, now you are playing in their field, believe me huwezi kuwashinda kwa sababu wana wanachi 70%, wanaofuata upepo tu kama bendera na ndio hasa political base yao yaani Mtandao.
- CCM ni kweli wanahitaji kushambuliwa kutoka kila angle, lakini mashambulizi lazima yawe sophisticated in thinking, ili wananchi waweze kuona tofauti, ya nani ni nani kuli wakaishia kuamini kwamba wote ni sawa, then wataenda na shetani wanayemjua, panya Makamba!
- Champion hupigwa kwa knockout, ikienda kwenye points desicion ujue the underdog atashindwa tu kwa kuonewa! Tizama kwenye mawe ya Quaresi, ulisikia maneno ya panya au paka? Lakini mbona Mkulu alijibu na kuahirisha safari ya Denmark! that is what I am talking about, yaani fimbo bin mawe tu!
Respect.
FMEs!