Mnyika naye awaita CCM panya


- Wapinzani ni lazima wasimamie kuelimisha haki za wananchi, lakini in the process lazima wajitenganishe na the Makambas, kwa kuonyesha the high road katika non ishus kama hii ya kuitana mapaka na mapanya, kwa sababu haionyeshi nani ana akili kuliko mwingine, na wewe lazima ukubali kwamba Makamba is more happy kujibiwa kwenye level yake, yaani ya mapaka na mapanya, kuliko level ya sheria na mafisadi ambao anawawakilisha.

- Watu kama Makamba they are dirty tactics by nature yaani iko katika damu zao, sasa ukishakubalia kujadili taifa katika level za mapaka na mapanya, now you are playing in their field, believe me huwezi kuwashinda kwa sababu wana wanachi 70%, wanaofuata upepo tu kama bendera na ndio hasa political base yao yaani Mtandao.

- CCM ni kweli wanahitaji kushambuliwa kutoka kila angle, lakini mashambulizi lazima yawe sophisticated in thinking, ili wananchi waweze kuona tofauti, ya nani ni nani kuli wakaishia kuamini kwamba wote ni sawa, then wataenda na shetani wanayemjua, panya Makamba!

- Champion hupigwa kwa knockout, ikienda kwenye points desicion ujue the underdog atashindwa tu kwa kuonewa! Tizama kwenye mawe ya Quaresi, ulisikia maneno ya panya au paka? Lakini mbona Mkulu alijibu na kuahirisha safari ya Denmark! that is what I am talking about, yaani fimbo bin mawe tu!

Respect.


FMEs!
 
FMES,

..inawezekana tunaongelea jambo moja ila tunatumia maneno tofauti ktk kutetea hoja zetu.

..nakubaliana na wewe kwamba wapinzani wasipokuwa makini wanaweza kuwa distracted na kutumia muda mwingi kujibizana kimipasho na watu kama Makamba.

..posting yako ya mwisho made more sense to me than the previous one. naomba kusisitiza kwamba ktk hili tuko pamoja 100%.
 
Hakuna leaders kwa sasa siyo CCM wala upinzani, just imagine ccm wanakodoleana macho viongozi wa upinzani wanakaa kuwajadili ccm? wanatoa ****** kuwalaani aagh!

Hawawezi kuipata hii nafasi tena come 2010, wananchi wengi hawawezi kutofautisha ccm na upinzani the same type of leaders..

siamini katika majaribio zambia walimweka chiluba kwa hasira akaiishia kuwa mwizi na kingan'anizi..naona hiyo kwa wapinzani hasa chadema!
 
Hivi haya maneno ambayo Mnyika uwa anayaropoka yanakuwa ni matamko ya CHADEMA au ya Mnyika binafsi? A'fu naona inabidi tutafute paka wengine maana hawa tulionao wameshindwa kabisa kuzuia panya kutafuna mali za wananchi myau myau myau tu lakini hakuna chochote.
 

Safi sana hii dawa ya Panya (CCM) ni kutafuta paka tu.
 

- It makes a lot of sense!

Respect.


FMEs!
 
FMES

Mbona unakuwa kigeu geu? Waziri Simba alipomropokea Mama Malecela alifanya kama Makamba alivyowaropokea wapinzani. Lakini wakina Malecela akiwemo Mzee Malecela mwenyewe hawakujibu kama utavyo Mnyika ajibu hapa badala yake wakajibu tu kwamba Sophia Simba ni mwehu badala ya kujibu tuhuma.

Afadhali Mnyika ametumia tu mfano wa panya na paka kueleza kwamba mafisadi wanatafuna fedha za umma ili kuondokana na ufisadi wao na kuleta maendeleo ni muhimu pawepo na upinzani kuwaondoa.

serayamajimbo
 

- Sasa mkuu mara ngapi Mbowe ameropokewa na Zitto na kina Kafulila, acha kina Wangwe, mbona hakujibu kama Mnyika anavyojibu sasa na wewe hukuwa na tatizo, au?

- Jaribu kuelewa point yangu kwamba unaposhuka kwenye level za mapanya na mapaka, sasa unakubali kuongea lugha ya Makamba na wewe Chadema huwezi kushinda kwa hiyo lugha, vipi mkuu hiki ninachosema ni kiswahili Mbowe au Chadema nzima kiongea lugha za kina Kafulila na Zitto, hamuwezi kushinda ndio maana mkabadili na kuongea lugha zenye decency, that is all I am asking!

- Yaani tofauti yenu kiakili na Makamba, Sophia alijibiwa vizuri sana, kwanza aliambiwa waziri anazo evidence kwa nini ahajaenda kwenye sheria, lingine aliambiwa asiondoke Dodoma bila kupimwa, the next thing we know boss wake akasema amepimwa huko majuu, kipi usichoelea hapo mkuu?

Respect.


FMEs!
 

Lugha ya Paka na Panya ni ya picha tu, kama ambavyo Malecela alijiita Tinga Tinga, ama Nyerere alimuita 'muhuni'. Soma makala hii hapa utaona lugha hiyo ya picha-----------http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/3/7/makala2.php

halafu mbona habari yenyewe inaonyesha kwamba wanaotafuna fedha za umma kama mafisadi wa ndani ya CCM ndio mapanya?

Mimi nadhani kundi la wapambanaji dhidi ya ufisadi kama wewe hamkupaswa kuumizwa na jina la panya kwa kuwa haliwahusu.

Ilipaswa walalamike wakina Makamba, Lowassa nk

serayamajimbo

serayamajimbo
 
 
 

FMES
Yaani unasema kwamba Nyerere alikuwa muhuni? Kivipi? Kati ya Malecela na Nyerere nani alikuwa muhuni?
......ndiyohiyo


- Yaani kipi usichoelea mkuu hapo? na what it has to do na masilahi ya taifa mbona mnataka kugeuza subject, au? Bwa! ha! ha! anyways I m out!
Respect.
FMEs

Teh teh teh..
 
Kusema kweli sioni kinachogomba hapa hasa ni nini - hawa jamaa wawili, Mnyika na Makamba wanalolisema ni lile lile wala hakuna anayempinga mwenziye. Makamba kawafananisha Wapinzani na paka na Mnyika kakubaliana naye kwa kusema,hewala, hiyo ni sawa kabisa. Mnyika naye kawafananisha akina Makamba na panya na hili Makamba hajalikanusha - sasa ugomvi uko wapi ?

Halafu Mnyika kasema watu hufuga paka sana sana kuwadhibiti panya ambao siku zote hujulikana kwa uharibifu wao. Hata siku moja sijamwona paka akikaa nyumba moja na panya - labda huko Ulaya ambako panya na paka wa kufinyangwa wanakula sahani moja bila msuguano. Lakini ya huko tuyaache kwani sasa wanapata taabu hata katika kumtenganisha mwanamme na mwanamke.

Jamani, huu ndio msemo unaoitwa analogy uliotiwa chumvi na satire- haina maana kuwa Mnyika ni paka au Makamba ni panya lakini kwa matendo yao yanaweza kabisa yakashabihiana na matendo ya paka na panya. Tufauti na wanavyofikiria wengi, kwenye siasa hii aina ya michapo inaruhusiwa kabisa na kwa nchi kama TZ, hii analogy inatoa taswira kamili ya hali halisi - na twatakiwa tuichukulie kama satire.

Hivi sasa paka hawapo na hivyo panya wanatawala, sasa Mnyika akiwaomba wananchi kufuga paka ili waondokane na hii kadhia, ubaya uko wapi ? Mifuko ya hazina yetu imetoboka, rasilimali zetu zinatafunwa usiku na mchana na sasa panya wameshiba, wamenawiri na kwa hakika wanapendeza na kumeremeta hadi wanashinda mashindano ya urembo - paka wanatakiwa haraka !
 
- Not impressed, two wrongs do not make right, mmoja hapa alitakiwa kuonyesha the way badala ya kuitana majina ya wanyama, huku wanachi wakiendelea kuteseka kutokana na uongozi mbovu katika kila kona ya taifa letu!

Respect.


FMEs!
Mnyika amewaonyesha wananchi njia mbadala kwa kusema wawapunguze mapanya kwa kuchagua wabunge wa upinzani wengi zaidi ili kulinusuru taifa linaloendelea kutafunwa na mapanya hao! Au hilo nalo ni fumbu ndugu yangu kiasi cha wewe kushindwa kupata ujumbe uliowafikia wananchi?
 
- Makamba kasema paka, na wewe mkombozi wetu Mnyika unajibu panya, sasa nani hapa mwenye akili kuliko mwingine?

- Inasikitisha sana! hili taifa!

Respect.

FMEs!
Aliyesema panya na akawafafanulia wananchi na kwenda mbali zaidi kwa kuwaonyesha namna ya kuyatowesha mapanya hayo ana akili mbadala kutetea masilahi ya wananchi. Tusing'ang'anie neno panya pekee yake bali tulipokee kama msemo likimaanisha wafuja mali za umma na dawa yao (mapaka) ni kuweka siyo tu wapinzani bali wapinzani walio makini kusimamia rasilimali za nchi.
 

- Unahangaika bure tu mkuu, naona message sent, later!

es!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…