johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio wanataka kwenda.Huo ni mchezo tu, kama walifoji barua mbona Chadema hawaendi mahakamani!??
NEC inaongozwa na Jaji!Ngoja hao NEC watoke humo walipi waseme hawaitambui au hawajibu vipeperushi!
Mahakama ipi ile ambayo haitaki mgongano na bunge?Huo ni mchezo tu, kama walifoji barua mbona Chadema hawaendi mahakamani!??
Ni kweli bwashee!Sasa tunachoka na hizi habari. Miezi mitano na mahakamani kupo chama kinasubiri nini?
Bawacha watakinukisha wiki ijayo!Chadema wakianza kulalamika tu haileti maana hichi ni chama walitakiwa kuwa na misimamo mikali katika mambo ya msingi kama haya ya kichama manaachia watu kuwafanyia maamuzi ya ndani na miezi mitano mko kimyaa tu. Kuweni strong katika maamuzi ya kimsingi
Wafanyaje wavamie jengo la NEC?Chadema wakianza kulalamika tu haileti maana hichi ni chama walitakiwa kuwa na misimamo mikali katika mambo ya msingi kama haya ya kichama manaachia watu kuwafanyia maamuzi ya ndani na miezi mitano mko kimyaa tu. Kuweni strong katika maamuzi ya kimsingi
Ni kweli. Mnyika, hamuoni mahakama? Mnalalamika tu! Nendeni kushitaki. Acheni malalamiko.Huo ni mchezo tu, kama walifoji barua mbona Chadema hawaendi mahakamani!??
Mwenyekiti wa NEC ni Jaji mstaafu!Ni kweli. Mnyika, hamuoni mahakama? Mnalalamika tu! Nendeni kushitaki. Acheni malalamiko.
Kama hawana la kufanya basi wanyamaze tu Ndungai awaamulie.Wafanyaje wavamie jengo la NEC?