Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

Wapi serikali hufanya kazi namna hiyo kwa kuweka hadharani nyaraka kisa kuna watu wanaongelea sana suala tajwa? Labda serikali ijayo ya mbowe
Mkuu nyaraka ngapi tunawekewa hadharani na serikali hizi ikiwemo mikataba?
Au barua za uteuzi wa wabunge ni nyaraka za siri? Maana siri tuu ndio haiwekwi hadharani
 
Chadema wameshajua aina ya wanachama wao hivi wakiitisha baraza kuu na kusema majibu ya rufaa ni haya nini kitatokea.
Kitendo cha kutoitisha baraza kuu na kujadili rufaa ya kina Mdee inaonyesha kuna kitu wanaficha
 
Kwahiyo Mnyika ndio aliagiza Nusrat Hanje atolewe mahabusu haraka haraka ili akaape na kuwa mbunge? Mbwa muda wake wa kula ukipita hajapata chakula, hubweka ili asisahaulike. Endelea kubweka.
 
Kabla ya kufikia kusamehewa, hao Covid 19 watoke mbele ya vyombo vya Habari wauelezee umma wa waTanzania namna walivyoingia bungeni. Wakifanya hivyo, kila mtanzania atakua amejua kilicho nyuma ya pazia na msamaha kwao utakua na maana. Sasahivi wakisamehewa bila kuweka mambo hadharani, jamii itaendelea kuwaza kwamba CHADEMA walipeleka majina. Mnyika bado anazo form 19 alizopewa na tume ya uchaguzi, ambazo hazijajazwa jina lolote kwa sababu kabla ya kufanya hivyo, walishangaa watu wanaapa kwenye garage ya viunga vya bunge.
 
Ungeweka ushahid official paper ya majina hayo aliyopeleka
Anajifunza kutunga insha, ushahidi anapata wapi! Hii ni propaganda zee ambayo mafiem wameimba tangu jina ‘Mwanakwendazake’ halijapata umaharufu!
 
Mkuu nyaraka ngapi tunawekewa hadharani na serikali hizi ikiwemo mikataba?
Au barua za uteuzi wa wabunge ni nyaraka za siri? Maana siri tuu ndio haiwekwi hadharani
Taja mkataba mmoja tu uliokwisha wekwa hadharani. Hizo teuzi na tenguzi ni taarifa kwa umma wewe na mimi na yeyote yule ni walengwa ndio sababu huwekwa hadharani
 
Naaa, siye huyu wala si UDOM ni UDSM. Aliyefukuzwa ni James Mbatia na kikundi cha watu 7 kwa kumtukana Rais-Mteule Ali Hassan Mwinyi matusi ya nguoni 1985
Watu wengi wamefukuzwaga UDOM au UDSM, hata Nondo alifukuzwa UDSM miaka ya karibuni tu!
 
Kama wame shindwa tu kupeleka case ya forgery mahakamani kama walivyo dai saini ime fojiwa .una tegemea nini
 
huyu bwana ni wa kupuuzwa, anaangaika kama kuku anaetaka kutaga.
 
Sasa Philipo umeweka namba yako hapo ili iweje? Harafu unaandika theories zako as if ni facts. Huu ni upumbavu.

98% ya ulichoandika ni hearsay tu na inaharibu hata hiyo 2% ya kinochoweza kuwa na mantiki

Viongozi wa CHADEMA somehow wanawapa nafasi watu kama Philipo kuongeaongea sana. Wakati mwingine you need to walk half a kilometer ili na upande wa pili wafanye yao.

Sijui kwanini Baraza Kuu haliitishwi. Ni ngumu pia kuelewa kwanini ile jinai ya kufoji inaachwa hivihivi
 
Mwakibinga huwezi kupata cheo chochote kwa kujipendekeza.
Ona wenzio akina,
LIJUAlikali na Nassari.
 
Kama KM alipeleka majina Tume ya Uchaguzi kweli, basi tume ya Uchaguzi itakua na majibu ya kuridhisha, Kama Tume ya Uchaguzi haitoi tamko lolote kuhusu Kinamama kuwepo Bungeni, Basi Chadema na raia wazalendo wana haki ya kuwavurumisha hao wabunge 19 Bungeni sababu Katiba ya Nchi haikufutwa wakati wa kuteuliwa kwao.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ni vema pia hao Wabunge 19 wangeomba RADHI na kueleza kwa uwazi ni nani aliyewapeleka Bungeni.
Hili likifanyika ndiyo utakua mwisho wa hizi kelele zote. Hao wanaowaonea huruma hao Covid 19, wawape ushauri huu TU.
 
Namba ungeweka chini mwisho kabisa wa ki-riwaya chako, alafu hiyo duuu, ni kucheka baada ya kujitekenya mwenyewe, hiyo ungemwachia pasco mayala!
 
Pumbaf sana wewe sukuma gang.
Kwa taarifa yako cdm haina na haijawahi kuwa na mgogoro wa kisiasa na wabunge 18.

Rudi tena lumumba kamwambie aliyekutuma kutapika huo ujinga ajipange tena maana watu kama hao hatuwajui.
 
Kwanini hiyo barua ya Mnyika aliyopeleka Tume haiwekwi hadharani?

Hilo lingeepusha Spika wa Bunge kukejeliwa kama ilivyo sasa na kupoteza heshima ya Bunge.

Tupunguze hadithi za kutunga
Mleta post ni mpumbavu,sasa anafikiri watanzania wote ni wapumbavu kama yeye,ndugai kakiri chadema kupeleka barua,lakini ajaonyesha barua ya mnyika kuwaruhusu mdee na wenzake kuingia bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…