Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

Akikujibu nistue
 
We jamaa makalio kweli.
 
Mwakibinga bhana! yaani Chadema Mnyika amepeleka majina na kulazimisha hadi yule dada atolewe gerezani ili awahi kuapishwa kesho yake 😃 😃 😃 😃
 
Mkuu mpaka Nasra naye alipelekwa? Huyu Mnyika kumbe ni mjinga kiasi hiki? Aliweka jina la mtu aliyeko mahabusu? Hata hivyo kuonyesha ujinga wake, akashawishi magereza mapaka wakamuachia mtuhumiwa akaenda kuapishwa kuwa mbuge!! Huyu Mnyika huyu?!!?? Na vipi spika, yeye hakupata wasiwasi wowote wa majina aliyopewa na tume? Hakujiuliza inakuwaje mtu anatoka mahabusu tena pasi na kibali cha mahakama na kupewa ubunge?, Na spika wetu alivyo na akili nyingi naye akaingia kwenye huu mtego wa Mnyika? Kama haya yote yalitokea na Mnyika akafanikiwa kuyafanya yote haya basi nchi yetu inazo siasa za kishamba kabisa na kiongozi wake ni Ndugai. Yote kwa yote, hongera sana Mnyika na pole kwa mwendazake na tawi lake la Kongwa.
 
Mwakibinga aka mwana ekibinda nkoi wewe si mwana Chadema tena ya huko unayajuaje kama so kihelehele?
 
Anajifunza kutunga insha, ushahidi anapata wapi! Hii ni propaganda zee ambayo mafiem wameimba tangu jina ‘Mwanakwendazake’ halijapata umaharufu!
Wakubali tuu kua kashaondoka, tuendelee kuijenga NCHI.
 
Hilo swali la maabusu kutolewa na kupelekwa bungeni ukiweza kulijibu kwa ufasaha kua ni mnyika nyie aliyepeleka jina lake tume nitaamini yote uliyoyasema ni sahihi.ukilimbia hilo swali basi itaonyesha dhahiri wewe ni kiazi.Uwanja ni wako tunasubiri majibu.
 
Kwa hiyo Mnyika ndiye aliyehusika yule wa Mahabusu Singida na kusafirishwa usiku kwenda kuapa Dodoma?
 
Mshauri Mnyika aende mahakamani au aite BARAZA KUU ukiona hafanyi hivyo jua anacheza na akili yako.
Wakati wakipelekwa Bungeni, Mahakama zilikuwa haziaminiki kwa kuwa hazikuwa huru kwa kumuogopa Mwendazake.

Ila kwa sasa sijui kama law of limitation kama itakuwa upande wao kwa maana japo Mwendazake amekufa yaweza kuwa wako out of time kufanya judicial review
 
Mtu amemkataa mnayesema ni mwanae, vipi tena mlazimishe aende mahakamani kudhibitisha kuwa sio mwanae?
Eitha zibitisheni nyie kwa DNA (barua ya KM) au kubalini sio mwanae (ondoeni hao wabunge)
Wekeni hadhalani kikaochenu cha kuwafuta ubunge chakamatiii juuu mlichokaa kujadili rufaa ya hao wabunge, wekeni mihitasary ya waokujitetea. Vinginevyo chama chenu kinafanya uoneziii mkuubwa saaana. Perekeni nyaraka muhimu, siovipeperushiii
 
Yaaaani dili lisukwe na wanaume wa kikundi chenu hala msukumizie wanawake mkidhani mtatoboa?? Acheni kutapeli watuuu
 
Kwanini hiyo barua ya Mnyika aliyopeleka Tume haiwekwi hadharani?

Hilo lingeepusha Spika wa Bunge kukejeliwa kama ilivyo sasa na kupoteza heshima ya Bunge.

Tupunguze hadithi za kutunga
Ni kukosa maadili kuweka barua za kiofisi hadharani.
 
Barua ya Mnyika ya kupeleka hayo majina iko wapi ?
 
Nimecheka sana baada ya kujua mtoa UZI ni PHILIPO MWAKIBINGA.

WE DOGO NI MNAFIKI SANA NA MSALITI.

huna credibility yoyote ya kuizungumzia CHADEMA.
Unaanza UCUMIA TUMBO kujipendekeza kwa SASHA....Ungefikiri sawasawa ulipaswa uje na ID tofauti, eti PHILIPO MWAKIBINGA....🤣🤣🤣🤣 njaaa mbaya sana.
 
Mkuu huyu dogo anaweza kuwa ni "BO.G.US yaani anakaa nikaamua kuja KUHARISHA.....🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…