Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

Diesel tsh 100000 unapata lita 30.4
Kwa gari mpya kwenye barabara nzuri (highway) lita moja kwa umbali wa kilometers 12.5....(lita 30.4 = kilometers 380).

Kwa magari ya mtumba/used kwenye barabara duni (foleni,makorongo)..Changamoto ni kubwa.
 
Kwa hiyo kauli ya Mnyika inaonesha kweli kina Mdee ni ulafi ndio umewapeleka bungeni, na ikitokea siku wakatimuliwa kule, wapata aibu kubwa kwenye maisha yao.
 
N
Jaa mwana malegeza shibe mwana malevya
 
Kwel machizi wengi nchi hiii
 
niliwahi kusikia eti hakuna adui wa kudumu kwenye siasa,hujawahi kusikia?
 
Mh Mnyika ni kiongozi nilimheshimu sana wakati wa CDM ya DR Slaa, akiwa bungeni na pale alipoonesha msimamo wake kuhusu ujio wa EL 2015. Hili la hawa Wabunge 19 ni kama simuelewi, hekima itumiwe zaidi hapa.
Mnyika ni yule yule.
 
Wakili Kibatala,

Ombi lao la kubaki na ubunge halijaelekezwa kwa yoyote kati ya wadaiwa (Mdee na wenzake)

Katika maombi yao hawasemi kama wanataka kuendelea kuwa wanachama wa Chadema ila wanataka kuendelea na ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…