Pre GE2025 Mnyika: Pamoja na kudai Tume Huru Wananchi wanatutaka tushiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa iwe mvua liwe jua Watalinda kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee naona umeshaanza kuogopa nguvu ya kulinda kura.... Tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe hivyo tuwe na uchaguzi huru, wa haki na ambao unaweza kuhakikiwa
 
Mzee naona umeshaanza kuogopa nguvu ya kulinda kura.... Tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe hivyo tuwe na uchaguzi huru, wa haki na ambao unaweza kuhakikiwa
Viongozi mliowachagua wa upinzani si ndo hao walinunuliwa wote kama malaya na mwendazake. Fanya kazi mkuu na uache kuamini wanasiasa
 
Wananchi watawasaidia Chadema kulunda kura kwa njia ipi, au ile ya kukaa umbali wa mita kumi kama sijakosea kusubiri matokeo yatangazwe?

Ile vita ya ndani kwa ndani iliyokuwepo baina yao naanza kuona kuna kundi limeanza kushinda, kina Lema na Sugu wamewaweza wenzao, sasa jukumu la kulinda kura anaachiwa mwananchi, sio tena Katiba Mpya wala Tume Huru!.

Ok, waende kushiriki lakini wakichakachukuliwa wasirudi kwa wananchi wapiga kura kulalamika, huo utakuwa ni usanii wa kiwango cha juu sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Walishindwa kulinda au walifukuzwa?
 
kiini macho kinatokeaga mda wa kuhesabu kura, wanachi wako nje hawawezi kulinda kura, kazi ya kulinda kura ni kazi ya mawakala, CHADEMA andaeni mawakala mapema, muwe na watu waaminifu wasio na njaa wala wasiolegelege wanapochimbwa biti wasaini matokeo batili, vinginevyo hata watu wakae dirishani ccm hawana aibu wataiba tu,
cha ,mwisho, ombeni mabadiliko madogo ya kanuni kabla ya kuingia kwenye uchaguzi, angalau iruhusiwe kurekodi zoezi la kuhesabu kura ili kuwe na ushahidi usio na shaka kwamba uhesabu kura ulikua wazi na wa haki, vinginevyo hakuna kitachobadilika.
 
Gia yao ya kususia wamegundua ilishabuma
 
Reactions: Tui
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Nimekuita useme utapiga ama hupigi chama kinachukua ruzuku ya walipa kususia uchaguzi haiwezekani!
 
Reactions: Tui
Nimekuita useme utapiga ama hupigi chama kinachukua ruzuku ya walipa kususia uchaguzi haiwezekani!
Msimamo wangu uko wazi, Tanzania hakuna uchaguzi, Bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Mimi sio msemaji wa cdm, wao kama chama ni juu Yao kushiriki ama kuacha, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua ni mwiko kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi katika mazingira haya ya tume ya mwenyekiti ww ccm.
 
Wananchi wa wapi hao. Mbona mimi Simo
 
Reactions: Tui
Au siyo? Ngoja tusubirie
 
Safari hii CHADEMA iingiè Mkataba na Kampuni za Ulinzi za GARDA au GROUP4 ili kila Kituo kuwe na Walinzi wa Kura wenye Silaha.

Tumechoka kuibiwa.
 
T
Tutakula nao sahani Moja inchi yetu sote hii mazee
 
Jamaa ni wanafiki nawaona you turn
 
Reactions: Tui
Yeye kasema uongo na wewe ukaleta uongo wako, hakuna aliyeongwa 2020 bali msimamizi aliwekewa bunduki kichwani ili ubadiri matokeo
 
Yeye kasema uongo na wewe ukaleta uongo wako, hakuna aliyeongwa 2020 bali msimamizi aliwekewa bunduki kichwani ili ubadiri matokeo
Mimi nilikuwa msimamizi 2020, hatukuwekewa bunduki sisi. Mawakala wenu wengi walikuwa hawajielewi na JPM aliwapiga kihalali kabisa, katika hilo hata msiongee.
 
Reactions: Tui
Naweza, na lazima uwe tayari kufa. Kufa, kufa, kufa au uwe na mabomu na wewe wakirusha na wewe unarusha, short of that ni ngumu maana tunaogopa kufa. Tukiwa kama wakenye, then tutazilinda kura.
Umetoa mawazo ya kijinga sana,
Ningependa kujua ikiwa;

1. Ni Mwanaume au Mwanamke

2. Umeoa au Bado unaishi nyumbani.
 
Umetoa mawazo ya kijinga sana,
Ningependa kujua ikiwa;

1. Ni Mwanaume au Mwanamke

2. Umeoa au Bado unaishi nyumbani.
Jiepushe na matusi, kama huwezi jibu hoja just skip and forge ahead. Siyo matusi
Umekuja kwa matusi nakujibu kwa matusi......Mjinga baba yako na mama yako na naishi na mama yako nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…