Pre GE2025 Mnyika: Pamoja na kudai Tume Huru Wananchi wanatutaka tushiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa iwe mvua liwe jua Watalinda kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mawakala wenu tu 2020 walinunuliwa karibia wote kwenye majimbo mliyosema ndo ngome zenu, unadhani kuna mwananchi gani ataenda kulinda kura za Chadema, Uongo tu wa wanasiasa, wanatafuta gear ya kusema public opinion ndo imefanya washiriki uchaguzi, haha
Mzee naona umeshaanza kuogopa nguvu ya kulinda kura.... Tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe hivyo tuwe na uchaguzi huru, wa haki na ambao unaweza kuhakikiwa
 
Viongozi mliowachagua wa upinzani si ndo hao walinunuliwa wote kama malaya na mwendazake. Fanya kazi mkuu na uache kuamini wanasiasa
 
Wananchi watawasaidia Chadema kulunda kura kwa njia ipi, au ile ya kukaa umbali wa mita kumi kama sijakosea kusubiri matokeo yatangazwe?

Ile vita ya ndani kwa ndani iliyokuwepo baina yao naanza kuona kuna kundi limeanza kushinda, kina Lema na Sugu wamewaweza wenzao, sasa jukumu la kulinda kura anaachiwa mwananchi, sio tena Katiba Mpya wala Tume Huru!.

Ok, waende kushiriki lakini wakichakachukuliwa wasirudi kwa wananchi wapiga kura kulalamika, huo utakuwa ni usanii wa kiwango cha juu sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mawakala wenu tu 2020 walinunuliwa karibia wote kwenye majimbo mliyosema ndo ngome zenu, unadhani kuna mwananchi gani ataenda kulinda kura za Chadema, Uongo tu wa wanasiasa, wanatafuta gear ya kusema public opinion ndo imefanya washiriki uchaguzi, haha
Walishindwa kulinda au walifukuzwa?
 
kiini macho kinatokeaga mda wa kuhesabu kura, wanachi wako nje hawawezi kulinda kura, kazi ya kulinda kura ni kazi ya mawakala, CHADEMA andaeni mawakala mapema, muwe na watu waaminifu wasio na njaa wala wasiolegelege wanapochimbwa biti wasaini matokeo batili, vinginevyo hata watu wakae dirishani ccm hawana aibu wataiba tu,
cha ,mwisho, ombeni mabadiliko madogo ya kanuni kabla ya kuingia kwenye uchaguzi, angalau iruhusiwe kurekodi zoezi la kuhesabu kura ili kuwe na ushahidi usio na shaka kwamba uhesabu kura ulikua wazi na wa haki, vinginevyo hakuna kitachobadilika.
 
Mawakala wenu tu 2020 walinunuliwa karibia wote kwenye majimbo mliyosema ndo ngome zenu, unadhani kuna mwananchi gani ataenda kulinda kura za Chadema, Uongo tu wa wanasiasa, wanatafuta gear ya kusema public opinion ndo imefanya washiriki uchaguzi, haha
Gia yao ya kususia wamegundua ilishabuma
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Nimekuita useme utapiga ama hupigi chama kinachukua ruzuku ya walipa kususia uchaguzi haiwezekani!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimekuita useme utapiga ama hupigi chama kinachukua ruzuku ya walipa kususia uchaguzi haiwezekani!
Msimamo wangu uko wazi, Tanzania hakuna uchaguzi, Bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Mimi sio msemaji wa cdm, wao kama chama ni juu Yao kushiriki ama kuacha, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua ni mwiko kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi katika mazingira haya ya tume ya mwenyekiti ww ccm.
 
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa

Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.

===

"Mimi nimepata wasaa wa kusikiliza wananchi kwenye mikutano ya operesheni +255 Katiba mpya na kwenye mikutano ya hadhara, nimepata wasaa wa kuwasikiliza wananchi kwenye maandamano hata kwenye maisha ya kawaida wananchi wanatuambia iwe mvua, iwe jua pamoja na kudai marekebisho katika uchaguzi lakini jiandaeni kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 na hawa ni wananchi mitaani, vijijini walioporwa haki yao ya uchaguzi wanatuambia jamani eeh safari hii msisusie shirikini uchaguzi" -John Mnyika

Source: Jambo TV
Wananchi wa wapi hao. Mbona mimi Simo
 
  • Kicheko

Au siyo? Ngoja tusubirie
 
T
Kinachotekea wasimamizi wote wale yaani:

1. Msimamizi mkuu.
2. Msimamizi msaidizi namba moja.
3. Msimamizi msaidizi mamba mbili.
4. Karani muongoza wapiga kura.

Wapewa maelekezo na mkurugenzi kivyovyote akuna mpinzani kupita.

Wanahusika kwenye kupiga kura zaidi ya mia mia kwenye vituo, wanatumbukiza kwenye balloon box.

Wanawafanyia fitina mawakala wa upinzani waonekane hawajatimiza vigezo vya kusimamia kura za wagombea wao hivyo lango linakuwa wazi kwa wizi.

Nishawai kushuhudia kura zinapigwa upya usiku kituo fulani hivi yameletwa mabox mapya na karatasi mpya, wasimamizi wanashirikiana kukocpy namba za ID ya vitambulisho vya wapiga kura zilizopigiwa upinzani na kupiga upya kura kupigia CCM.

Upinzani mjipange sana, jamaa wanambinu chafu sana.

Saizi wapo wanadiscuss sehemu zenye shida upande wao wanajipanga wagombea wa upinzani pindi wanaporudisha fomu wawapore njiani kabla hazijafika kwa wasimamizi wa uchaguzi.

Wamepanga waanze na uchaguzi wa serikali za mitaa.
Tutakula nao sahani Moja inchi yetu sote hii mazee
 
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa

Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.

===

"Mimi nimepata wasaa wa kusikiliza wananchi kwenye mikutano ya operesheni +255 Katiba mpya na kwenye mikutano ya hadhara, nimepata wasaa wa kuwasikiliza wananchi kwenye maandamano hata kwenye maisha ya kawaida wananchi wanatuambia iwe mvua, iwe jua pamoja na kudai marekebisho katika uchaguzi lakini jiandaeni kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 na hawa ni wananchi mitaani, vijijini walioporwa haki yao ya uchaguzi wanatuambia jamani eeh safari hii msisusie shirikini uchaguzi" -John Mnyika

Source: Jambo TV
Jamaa ni wanafiki nawaona you turn
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mawakala wenu tu 2020 walinunuliwa karibia wote kwenye majimbo mliyosema ndo ngome zenu, unadhani kuna mwananchi gani ataenda kulinda kura za Chadema, Uongo tu wa wanasiasa, wanatafuta gear ya kusema public opinion ndo imefanya washiriki uchaguzi, haha
Yeye kasema uongo na wewe ukaleta uongo wako, hakuna aliyeongwa 2020 bali msimamizi aliwekewa bunduki kichwani ili ubadiri matokeo
 
Mimi nilikuwa msimamizi 2020, hatukuwekewa bunduki sisi. Mawakala wenu wengi walikuwa hawajielewi na JPM aliwapiga kihalali kabisa, katika hilo hata msiongee.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Naweza, na lazima uwe tayari kufa. Kufa, kufa, kufa au uwe na mabomu na wewe wakirusha na wewe unarusha, short of that ni ngumu maana tunaogopa kufa. Tukiwa kama wakenye, then tutazilinda kura.
Umetoa mawazo ya kijinga sana,
Ningependa kujua ikiwa;

1. Ni Mwanaume au Mwanamke

2. Umeoa au Bado unaishi nyumbani.
 
Umetoa mawazo ya kijinga sana,
Ningependa kujua ikiwa;

1. Ni Mwanaume au Mwanamke

2. Umeoa au Bado unaishi nyumbani.
Jiepushe na matusi, kama huwezi jibu hoja just skip and forge ahead. Siyo matusi
Umekuja kwa matusi nakujibu kwa matusi......Mjinga baba yako na mama yako na naishi na mama yako nyumbani.
 
Back
Top Bottom