Pre GE2025 Mnyika: Pamoja na kudai Tume Huru Wananchi wanatutaka tushiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa iwe mvua liwe jua Watalinda kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mjinga baba yako na mama yako
Ndio ninyi mkitaka Kutoka nje mnaomba kusindikizwa sababu ya HOFU.

Usirudie kuambukiza HOFU Kwa wapambanaji wengine.

Kifo kipo muda wote, na kamwe hupasi kuogopa ikiwa unasimamia HAKI.

Kulinda kura Si lazima uwe na mabomu, ni hamasa ya watu kujitokeza na kuhakikisha wanapaza sauti kukemea UOVU.

Usirudie tena.
 
Jiepushe na matusi, kama huwezi jibu hoja just skip and forge ahead. Siyo matusi
Umekuja kwa matusi nakujibu kwa matusi......Mjinga baba yako na mama yako na naishi na mama yako nyumbani.
Sijakutukana,

Ujinga Si tusi ndugu,

Pia siwezi kuongelea wazazi wako sababu hawahusiki kwenye mjadala.

Jibizana na Mimi kama Mwanaume.
 
Njaa zao tu wasije kukosa ruzuku, wananchi gani hao wawatake kugombea?
 
Reactions: Tui
Safari hii CHADEMA iingiè Mkataba na Kampuni za Ulinzi za GARDA au GROUP4 ili kila Kituo kuwe na Walinzi wa Kura wenye Silaha.

Tumechoka kuibiwa.
Hiyo kampuni ya ulinzi italipwa na nani wakati mwenyekiti wa chama anatumia hela za chama kujengea nyumba zake za kuishi na kusomesha watoto wake waliopo Marekani?

Labda uwalipe wewe, na yule kamanda wenu uchwara wa Kyela 😂😂🤣
 
Kauli hizi ndo zinamfanya akipita humu aone kuwa nyinyi bado mmelala, hata mkipigwa za join the chain hamshtuki.
Tunachangia sana ili kukijenga Chama, CAG mwenyewe hajawahi kukuta Ruzuku zimeibiwa.

Kama unaushahidi kamili ulete hapa.

CHADEMA kiko Moyoni mwangu lakini nikisikia kuwa kuna fedha zimepigwa na ushahidi wote na nikajiridhisha mbona ninakihama Chama mara moja kwa sababu kunakuwa hakuna tofauti kati ya CCM na CHADEMA.
 
Wawakilishi wa vyama ndiyo kazi yao, wengine baada ya kupiga kura rudi nyumbani, usubirie matokeo!
Nakupeni wasio kwa ccm na chadema, chagueni Wawakilishi waaminifu, sio mnaweka mtu mwenye njaa akionyeshwa laki moja anapangawa.
Kweli kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…