Ndio ninyi mkitaka Kutoka nje mnaomba kusindikizwa sababu ya HOFU.Mjinga baba yako na mama yako
Usirudie kuambukiza HOFU Kwa wapambanaji wengine.
Kifo kipo muda wote, na kamwe hupasi kuogopa ikiwa unasimamia HAKI.
Kulinda kura Si lazima uwe na mabomu, ni hamasa ya watu kujitokeza na kuhakikisha wanapaza sauti kukemea UOVU.
Usirudie tena.