Mnyika: Tarehe 21 January ni Chadema Day ndio Siku Chadema tulipata Usajili kamili 1993. Hivyo itakuwa zaidi ya Uchaguzi na Chadema Kuzaliwa Upya!

Mnyika: Tarehe 21 January ni Chadema Day ndio Siku Chadema tulipata Usajili kamili 1993. Hivyo itakuwa zaidi ya Uchaguzi na Chadema Kuzaliwa Upya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema tarehe 21 January 2025 ni zaidi ya Uchaguzi kwani ndio Chadema Day

Mnyika amesema tarehe 21 January 1993 Chadema ilipata Usajili kamili hivyo 2025 inazaliwa upya na kuwa STRONGER TOGETHER

Ahsanteni Sana

Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
 
Kuna mawili:
Ama chadema itakufa siku hiyo endapo Mbowe atashinda.

Au chadema itapiga hatua ya ustawi endapo Lisu atashinda.
Una Akili Sana 😂

Mwiba hutokea ulipoingilia 🐼
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Sasa mbona wewe unawakandia watu unawaita wanaharakati uchwara? Ukitumia lugha ya kuudhi tegemea kujibiwa kwa lugha hiyo hiyo sawa sawa dogo?
Wanaharakati uchwara na wahuni nendeni mkamchomoe Slaa kinguvu basi!
 
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema tarehe 21 January 2025 ni zaidi ya Uchaguzi kwani ndio Chadema Day

Mnyika amesema tarehe 21 January 1993 Chadema ilipata Usajili kamili hivyo 2025 inazaliwa upya na kuwa STRONGER TOGETHER

Ahsanteni Sana

Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Dunia nzima inaitazamia siku hiyo kwa hamu kubwa!
 
Hapoy Birthday Chama kubwa - sisi wanachama, wajumbe na wanachi wa Tanzania tumeapa kukulinda kwa gharama zote.

Hawezi akatokea mtu ana genge la watu kutoka huko walikotoka na njaa zao eti kujaribu kutusambaratisha, hilo halitakubaliwlka kabisa.
 
Hakunaga mwenye Njaa hapo Chadema kama Mbowe hadi akaandamana na Bint yake kutetea Mkate 😂😂

Wenye Fweza akina Rostam Aziz na Mo Dewji waliingia bungeni wakaseti mitandao Wakasepa sasa wanaajiri tu Wabunge wa kusukuma agenda zao Kwenye Mfumo 😂😂😂😂

Happy New Year 😄
 
Chadema Day Kitaifa sana....Lumumba wametowa macho

Hiyo siku nchi INASIMAMA
 
Back
Top Bottom