Jiandaeni kurudi NCCR ama TLP - mambo ya fujo na siasa za ubaguzi kafanyieni huko CDM hayana nafasi.Hakunaga mwenye Njaa hapo Chadema kama Mbowe hadi akaandamana na Bint yake kutetea Mkate ๐๐
Wenye Fweza akina Rostam Aziz na Mo Dewji waliingia bungeni wakaseti mitandao Wakasepa sasa wanaajiri tu Wabunge wa kusukuma agenda zao Kwenye Mfumo ๐๐๐๐
Happy New Year ๐
Na waambie hao vinara wenzenu - WANAPIGWA asubuhi saana.