Mnyika: Tarehe 21 January ni Chadema Day ndio Siku Chadema tulipata Usajili kamili 1993. Hivyo itakuwa zaidi ya Uchaguzi na Chadema Kuzaliwa Upya!

Mnyika: Tarehe 21 January ni Chadema Day ndio Siku Chadema tulipata Usajili kamili 1993. Hivyo itakuwa zaidi ya Uchaguzi na Chadema Kuzaliwa Upya!

Hakunaga mwenye Njaa hapo Chadema kama Mbowe hadi akaandamana na Bint yake kutetea Mkate ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wenye Fweza akina Rostam Aziz na Mo Dewji waliingia bungeni wakaseti mitandao Wakasepa sasa wanaajiri tu Wabunge wa kusukuma agenda zao Kwenye Mfumo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Happy New Year ๐Ÿ˜„
Jiandaeni kurudi NCCR ama TLP - mambo ya fujo na siasa za ubaguzi kafanyieni huko CDM hayana nafasi.
Na waambie hao vinara wenzenu - WANAPIGWA asubuhi saana.
 
Jiandaeni kurudi NCCR ama TLP - mambo ya fujo na siasa za ubaguzi kafanyieni huko CDM hayana nafasi.
Na waambie hao vinara wenzenu - WANAPIGWA asubuhi saana.
Na Yeye ajiandae kurudi St Peters ๐Ÿ˜‚
 
Mbowe kuwa tena mwenyekiti ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM, hii hakubaliki hata kigogo .
lile bango la maridhiano la ccm linaonesha chadema hii ya mbowe ni tawi la ccm, haipendezi kwa kweli
 
Toka 1993 mnacheza reggae tu,

1993 George Weah alikuwa 27yrs akichezea PSG,hana hata ndoto za urais.

Kastaafu soka 2003 kaanzisha chama 2005 kawa rais 2018!

Kwa hali ya maisha ya Tz,kushindwa kumshawishi mtu kuwa wewe ni mbadala wa CCM ni uzembe wako hata kama inaiba kura!
 
Natamani Mbowe awe Waziri mkuu.Ila SAIZ CHADEMA Amuachie Lissu time. Tundu lissu
 
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema tarehe 21 January 2025 ni zaidi ya Uchaguzi kwani ndio Chadema Day

Mnyika amesema tarehe 21 January 1993 Chadema ilipata Usajili kamili hivyo 2025 inazaliwa upya na kuwa STRONGER TOGETHER

Ahsanteni Sana

Nawatakia Dominica NJEMA ๐ŸŒน
Ooh kumbe! Mungu ana namna yake ya kufanya kazi kweli. Na kwa hakika, siku hiyo Chama kinaenda kuzaliwa upya. Kutoka chama kinachofanya kazi kwa niaba ya dola, kuwa chama rasmi cha Upinzani.
 
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema tarehe 21 January 2025 ni zaidi ya Uchaguzi kwani ndio Chadema Day

Mnyika amesema tarehe 21 January 1993 Chadema ilipata Usajili kamili hivyo 2025 inazaliwa upya na kuwa STRONGER TOGETHER

Ahsanteni Sana

Nawatakia Dominica NJEMA ๐ŸŒน
Mnyika ni team lissu ila anajikausha tu.
 
Back
Top Bottom