Uchaguzi 2020 Mnyika: Tunaviomba vyama vingine vije tushirikiane kuitoa CCM madarakani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Tunaviomba vyama vingine vije tushirikiane kuitoa CCM madarakani



CHADEMA wamesahau walivyo visaliti vyama vingine wakati wa uchaguzi mkuu 2015 na sasa wanatubu na kuomba tena washirikiane !! Hii ni aibu kubwa

Ipo hivi

Kwenye taarifa ya habari ya UTV muda mfupi uliopita katibu mkuu wa chadema anatoa wito kwa vyama vingine vya upinzani kujiunga nao hii ni aibu kwa chadema maana waliuwa ndoto za vyama vingine na kujivika ukiongozi wa ukawa mwaka 2015

CHADEMA ndio walimleta lowasa katika muungano wa ukawa na kuwashawishi wampokee ambapo lipumba na slaa walikuwa vinara wa muungano ule kuona wamesalitiwa na kuamua kuondoka wakimtuhumu mbowe na vingozi wa juu wa chadema kumleta lowasa waliomuita fisadi kwa miaka 8.

Mtakumbuka viongozi wengi wa chadema hasa wabunge wameshakiandikia chama hicho barua ya kukikimbia bunge likifungwa hii inamaana chadema wanataka kuwamiliki viongozi hawa chini ya mwavuli wa kushirikiana.

Ombi la mnyika ni sawa na kuwapigia magoti vyama vingine kuelekea uchaguzi katika kipindi huki kinachotajwa kuwa ndio mwisho wa chadema.

My take :vyama vingine wakatalieni kabisa maana ukishirikiana na anayeanguka mtaanguka wote

USSR

Mbona ruzuku ya kura za urais mnakula pekeyenu?
Ujinga ni wakati wa kwenda tu, wakati wa kurudi kila mtu ni mjanja
 
Back
Top Bottom