Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, ni kwamba mwenyekiti wa CCM alishaitangazia dunia kwamba Mbowe ni gaidi na alikuwa anasubiriwa arudi toka nje ya nchi ili aje apelekwe kwenye vyombo vya sheria.
Nakumbuka alisema hayo wakati shauri hilo lipo mahakamani kinyume na sheria. Hivi hizi kumbukumbu zangu zipo sawa?
Nakumbuka alisema hayo wakati shauri hilo lipo mahakamani kinyume na sheria. Hivi hizi kumbukumbu zangu zipo sawa?