johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ile mikopo ya dhamana ya bunge sidbani kama waliimizaTaarifa inafikirisha ikizingatiwa kuwa karibu viongozi wote hao walikuwa wagombea wa nafasi mbalimbali za kuchaguliwa na walifanya kampeni zao kwa usalama.
Warudi tu hawatakuwa na jipya kama hawataweka bayana ni kwa namna gani walitishiwa usalama wao, na nani, kwa sababu gani.
MAAMUZI YA KIPUUZI NA UHUNI
Watumiwe ticket harakaHatua nzuri sana hii.
Mungu kaamua ugomvi !Bila Mungu kuingilia kati haya maridhiano yasingefanyika. Karibuni nyumbani viongozi wetu
Mungu wetu yu mwema, tunawasubiri kwa hamu na ujio wenu ndio chachu ya mabadiliko na maridhianoKatibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya serikali kuwa imetoa tangazo bungeni
Mnyika amesema suala la viongozi hao wakimbizi lilikuwa moja ya ajenda ya Maridhiano
Mnyika amewataja Tundu Lissu, Lema na Wenje kuwa ni miongoni mwa walio nje ya nchi na Chama kitawaandikia rasmi kuwapa utaratibu wa kurejea nyumbani
Chanzo: ITV habari
Taarifa inafikirisha ikizingatiwa kuwa karibu viongozi wote hao walikuwa wagombea wa nafasi mbalimbali za kuchaguliwa na walifanya kampeni zao kwa usalama.
Warudi tu hawatakuwa na jipya kama hawataweka bayana ni kwa namna gani walitishiwa usalama wao, na nani, kwa sababu gani.
MAAMUZI YA KIPUUZI NA UHUNI
Chato bado inakubutua! Jifungue tu kwa kweliMpumbavu kama wewe ulitakakiwa maisha yako yote yaliyobakia umalizie kwenye kaburi kule Chato
Naona sasa mnaramba asali!Kipindi cha dhalimu ukiwa mpinzani vocal kutekwa, kuuwawa ama kubambikiwa kesi ilikuwa jambo la kawaida sana.
asante Mungu kwa kuamua ugomviKatibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya serikali kuwa imetoa tangazo bungeni