kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Tangazo tayari kupitia wizara ya ulinzi mawaziri wako chini ya rais wetu mwema mama Samia(ukiangalia mihimili unaona wazi waziri anadondokea mhimili upi) ondoa shakaKheee, wanarudi kwa tangazo la Mnyika? Si walisema hawarudi mpaka rais autangazie ulimwengu na kuwaomba kurudi, sasa imekuwaje tena?
Wewe uko hai kweli wewe au uko kaburini chatoKheee, wanarudi kwa tangazo la Mnyika? Si walisema hawarudi mpaka rais autangazie ulimwengu na kuwaomba kurudi, sasa imekuwaje tena?
Hawawezi kuacha mapochopocho ya Ulaya?
Chadema wako serious?!!Kuna chama cha upinzani ukiacha chadema unachokiona kipo serous??
Wewe hujaona siku zote ccm inacheza musiki wa chadema?? Jiwe alikuwa kila mwezi anakwenda geleji kwa musiki wa chademaChadema wako serious?!!
Good warudi kwenye uwanja wa vitaKatibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya serikali kuwa imetoa tangazo bungeni
Mnyika amesema suala la viongozi hao wakimbizi lilikuwa moja ya ajenda ya Maridhiano
Mnyika amewataja Tundu Lissu, Lema na Wenje kuwa ni miongoni mwa walio nje ya nchi na Chama kitawaandikia rasmi kuwapa utaratibu wa kurejea nyumbani
Chanzo: ITV habari
Hivi Twiga star mnaenda lini kwenye mashindano?Chadema wako serious?!!
Naona CPA Ruge amekurushia salio la bandoHivi Twiga star mnaenda lini kwenye mashindano?
Bando lipo tu kila sikuNaona CPA Ruge amekurushia salio la bando
Umeandika upuuzi. Hii hoja ya kusema Mungu ameingilia kati ni utoto. Jitahidini kuboresha fikra zenuBila Mungu kuingilia kati haya maridhiano yasingefanyika. Karibuni nyumbani viongozi wetu
Kwani CHADEMA iko serious ?Kuna chama cha upinzani ukiacha chadema unachokiona kipo serous??
Swali zuriKwani CHADEMA iko serious ?
waje walipe madeni ya watuWelcome home comrades.
Kweli mkuuView attachment 2255016Bila Mungu kuingilia kati haya maridhiano yasingefanyika. Karibuni nyumbani viongozi wetu
Labda wameshalipiwa kwenye Maridhianowaje walipe madeni ya watu
akili za chadema wanazijuwa wenyewe maana hawajulikani wanataka nini na hawataki nini?Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Viongozi na wanachama wao waliokimbia nchi kwa sababu za kisiasa na kiusalama sasa warudi nyumbani baada ya Serikali kuwa imetoa tangazo bungeni.
Mnyika amesema suala la viongozi hao wakimbizi lilikuwa moja ya ajenda ya Maridhiano.
Mnyika amewataja Tundu Lissu, Lema na Wenje kuwa ni miongoni mwa walio nje ya nchi na Chama kitawaandikia rasmi kuwapa utaratibu wa kurejea nyumbani
Chanzo: ITV habari
Mungu aliingilia kati akatuliza bahari ikatulia, sasa bahari imetulia.Bila Mungu kuingilia kati haya maridhiano yasingefanyika. Karibuni nyumbani viongozi wetu